Huo ndio mpira wao tumeuzoea. Ndiyo maana kijana Singano kila akipata mpira anaangalia Yondani au Twite wako wapi ndio anapopitia. Matokeo yake Yanga Steve analia eti Refa wanaonea...
Taifa raha sana.
Washambuliaji wa Yanga wanacheza kama washambuliaji wa taifa staz na beki ya Ruvu inacheza kama beki ya taifa staz ndio maana mpaka sasa 0-0
Taifa raha sana.
Washambuliaji wa Yanga wanacheza kama washambuliaji wa taifa staz na beki ya Ruvu inacheza kama beki ya taifa staz ndio maana mpaka sasa 0-0