TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 13,814
- 21,404
Ukifuatilia wananchi wa mataifa ya nje nao wanafanya kama maamuzi ya wengine humu, wanamuona Rais wao kilaza na kusema tumpe Magufuli, so upinzani kwa kiongozi wa nchi upo ndani bali wananchi wa nje wanatamani awe kwao.
Ikitokea akaenda kwao (30days) wanalia ooh yule wetu arudi tu 😷!!
Ikitokea akaenda kwao (30days) wanalia ooh yule wetu arudi tu 😷!!