Vote for H.E Nana Akufo Addo: Afican Political leader of the year Award

kwa kigezo cha kupiga kura basi magufuli atashinda coz wabongo wanajitoa sana kuwapigia kura watu wao
 
Bora hata wangemweka Uhuru na Ramamphosa, hata kagame afadhali
Yani endapo atashinda najionea vile watu tutanyanyasika na salamu za pongezi na headlines za media kila siku.
Hii haikubaliki kabisa, kwa wananchi tuliopitia na tunaojionea matendo ya hii awamu tutakuwa tumedhalilishwa na jamii ya kimataifa
 
kwa kigezo cha kupiga kura basi magufuli atashinda coz wabongo wanajitoa sana kuwapigia kura watu wao
West Africa wapo wengi na obvious watampigia Rais wa Ghana
 
Yani endapo atashinda najionea vile watu tutanyanyasika na salamu za pongezi na headlines za media kila siku.
Hii haikubaliki kabisa, kwa wananchi tuliopitia na tunaojionea matendo ya hii awamu tutakuwa tumedhalilishwa na jamii ya kimataifa
Yani polepole anaweza akaita press conference kabisa, halafu aridhio ya tbccm itatamalaki hiyo mada
 
kwa kigezo cha kupiga kura basi magufuli atashinda coz wabongo wanajitoa sana kuwapigia kura watu wao
Kwa taarifa yako baada ya hii habari kuonekana twitter ndio watanzania wameenda kupiga kura za hasira Hadi Huyo raisi wa Ghana kupata hizo kura ni watanzania.

Magufuli alikuwa anaongoza kwa 90% kabla ya hizi taarifa kuonekana twitter. Nenda kwemye official twitter account ya waandaaji wa hiyo tuzo uone watanzania wanavyowashambulia.
 
Yani watanzania hii 2021 hawataki ujinga kabisaa
 
Kwa taarifa yako baada ya hii habari kuonekana twitter ndio watanzania wameenda kupiga kura za hasira Hadi Huyo raisi wa Ghana kupata hizo kura ni watanzania.

Magufuli alikuwa anaongoza kwa 90% kabla ya hizi taarifa kuonekana twitter. Nenda kwemye official twitter account ya waandaaji wa hiyo tuzo uone watanzania wanavyowashambulia.
watanzania hao hao ndo wanampia kura rais wa ghana na watanzania hao hao ndo watampa ushindi magufuli
 
Back
Top Bottom