Vote for H.E Nana Akufo Addo: Afican Political leader of the year Award

Kwa taarifa yako baada ya hii habari kuonekana twitter ndio watanzania wameenda kupiga kura za hasira Hadi Huyo raisi wa Ghana kupata hizo kura ni watanzania.


Magufuli alikuwa anaongoza kwa 90% kabla ya hizi taarifa kuonekana twitter. Nenda kwemye official twitter account ya waandaaji wa hiyo tuzo uone watanzania wanavyowashambulia.

Watanzania wangapi umewasiliana nao, wakakwambia wamepiga kura baada ya kuona Tangazo Twitter?
 
Labda Kama uongozi ni mihemko na misifa ya kijinga.
Yani jiwe ni mtu ambaye hata akiwa sahihi nakosa ujasiri wa kufurahia kwa sababu najua kabisa lazima ataongea pumba tuu ndani ya mda mfupi.
Mdomo hauna breki
 
Watanzania wangapi umewasiliana nao, wakakwambia wamepiga kura baada ya kuona Tangazo Twitter?
Hata mimi nilipiga kura baada ya kuona tangazo twitter kwa Maria Sarungi
 
Tukiacha kuleta mtakufa wote, nchi itabaki haina kiongozi hata mmoja

Anyway, kapige kura dogo Nana ashinde kwa kishindo

Nimeona mmeleta na vifaa vya kujikinga na corona ndio maana hatujafa na wala corona haijatudhuru sana.

Nimeshampigia Magufuli, by the way tunajenga nchi yetu wala hatufanyi kwa ajili ya kufurahisha wamataifa.
Magufuli wins, Tanzania win
 
Watanzania wangapi umewasiliana nao, wakakwambia wamepiga kura baada ya kuona Tangazo Twitter?
Hata bombadier hujawahi kupanda mkuu ?




 
Nimeona mmeleta na vifaa vya kujikinga na corona ndio maana hatujafa na wala corona haijatudhuru sana.

Nimeshampigia Magufuli, by the way tunajenga nchi yetu wala hatufanyi kwa ajili ya kufurahisha wamataifa.
Magufuli wins, Tanzania win
Mitano tenaaaa
 
Sipigi kura mana jpm atashinda, kwa sasa africa ni rais wa kipekee.
 
Kale kajamaa hovyo sana.
Kalipambana sana enzi za katiba mpya na kuonekana mstari wa mbele kuhitaji mabadiliko ila kaliponyweshwa juice ya kijani kakawa kazombi.
Mimi sijawahi kumwelewa yule bwana, sijii kama ntakaa nimwelewe
 
Kwa kigezo cha kura hapo teyari JPM kashinda ni matter of time tu, watanzania kwenye swala la kupiga kura za mitandaoni tuko vizuri sana, hata watokee wapiga kura 200 tu wanatosha sana kumpa ushindi JPM, nchi za wenzetu waga hawaangaiki na hizi mambo, hapo unakuta wanaopiga kura wote ni watanzania, wachache wanapiga kura kwa Ghana wengi na hasa makada wa CCM na mafukara wanapiga kwa JPM

mafukara wengi tunaongozwa na chuki na ndio kitu amefanikiwa JPM kutengeneza chuki kati ya matajiri na mafukara, kawaaminisha matajiri walikuwa wapigaji na wala rushwa kwahiyo fukara anafurahi kuskia tajiri analalamika Hali ya uchumi, ukitaka kupigwa ngumi mkosoe JPM mbele ya mafukara

Anyway, Mitano tena wanazengo
 
Back
Top Bottom