Vote for H.E Nana Akufo Addo: Afican Political leader of the year Award

Ukifuatilia wananchi wa mataifa ya nje nao wanafanya kama maamuzi ya wengine humu, wanamuona Rais wao kilaza na kusema tumpe Magufuli, so upinzani kwa kiongozi wa nchi upo ndani bali wananchi wa nje wanatamani awe kwao.

Ikitokea akaenda kwao (30days) wanalia ooh yule wetu arudi tu 😷!!
 
Hata bombadier hujawahi kupanda mkuu ?





IMG_0055.jpg
 
Usisahau kumpigia JPM, ukimng'ang'ania Nana wako huyo tunakuhamishia hukooooo Ghana ukale cola nuts
Not even JPM anaeweza kunihamishia Ghana, ntahama nikitaka mimi ili sio kuhamishwa na mtu yeyote

#vote for NanaAkufo
 
Back
Top Bottom