Vote for H.E Nana Akufo Addo: Afican Political leader of the year Award

Mtende

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
6,385
7,294
follow the link to vote

Katika Category hii Rais wetu Magufuli pia ni miongoni mwa nominees,sema mimi Mtende nimeona anaestahili hii award ni Rais wa Ghana, karibuni tumpigie kura kwa wingi

Happy new year to you all.

20210102_134308.jpg
 
Najiuliza kafika vipi kwenye hiyo list nakosa majibu.

Na akishinda naona vile atashupaza shingo kwa kigezo kuwa anakubalika kuliko maraisi wengine.
Yani akipata atajisifia na atajiona keki maana taona hakuna kama yeye Africa na dunia nzima, mi nahisi NEC wameiva kuea
 
follow the link to vote

Katika Category hii Rais wetu Magufuli pia ni miongoni mwa nominees,sema mimi Mtende nimeona anaestahili hii award ni Rais wa Ghana, karibuni tumpigie kura kwa wingi

Happy new year to you all.

View attachment 1665535
Duh watu wanaenda kusawazisha
IMG_20210102_144228.jpeg
 
Yani akipata atajisifia na atajiona keki maana taona hakuna kama yeye Africa na dunia nzima, mi nahisi NEC wameiva kuea
Hata wahusika wa kutoa hizo tuzo wanaonesha udhaifu mkubwa sana kuruhusu upupu kwenye bwawa la samaki.

Yani hana vigezo vya kuwepo ktk hiyo category.
Kwa ufupi anastahili kuwa kwenye category moja na kina kaguta
 
Bora hata wangemweka Uhuru na Ramamphosa, hata kagame afadhali
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom