waungwana salama jamani,yapata sasa karibia mwezi 1 sasa tangu nipeleke barua ya kuomba nafasi ya kuvolunteer pale hospital ya Agakhan,wadau hapo napo vipi niendelee kuvuta subra ama nifikirie michakato mingine
mi nipo hapa...sema uliomba kitengo kipi? pia uje hr ufatilie..ukikaa mbali kuna wenzio wana shida zaidi yako, na wengine wanaletwa na wazazi wao...so wewe njoo ulizia mchakato upoje....
Kuna zile mlizotangaza kwa upande wa mashule vipi kuna updates zozote mkuu
wamerecruit wachache process itaendelea baadae tena
mi nipo hapa...sema uliomba kitengo kipi? pia uje hr ufatilie..ukikaa mbali kuna wenzio wana shida zaidi yako, na wengine wanaletwa na wazazi wao...so wewe njoo ulizia mchakato upoje....
Unaweza nisaidia kwa nafasi walizoajiri, kwani mie niliomba nafasi ya school Secretary na nyingine moja hivi, natanguliza shukrani zangu
Hivi Aga Khani ni kampuni yenye shule pia?
Ukiwa kwenye chaka la bibi ndo ujue sasa. Ina mashule (ya msingi hadi university), iko kwenye insurance (za mali na afya) na iko kwenye mahoteli and entertainment.
endelea kulaza damu lol
Ha ha haaaa aisee so kuna AK univ pia? Kweli nimezeeka, nlikuwa najua ana hospital na hotel za Serena, kumbe mweee!! Asante sana King'ast
Hehehe. Hadi praimare ipo.
nadhani agha khan ni mchaga. Unajua duka lenye sumu ya panya, maziwa, misumari, nguo, mahindi, na majembe?