Kauli Hii ni Apologetic, Japo Mwanzo Alikomaa, Sasa Ameguswa, Ameumia, Amejutia!, Ameomba Msamaha!, Watanzania Tumsamehe, Yaishe Tusonge Mbele!.

Kauli Hii ni Apologetic, Japo Mwanzo Alikomaa, Sasa Ameguswa, Ameumia, Amejutia!, Ameomba Msamaha!, Watanzania Tumsamehe, Yaishe Tusonge Mbele!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
57,103
Reaction score
128,723
Wanabodi

Kama kawaida yangu, mimi Mzee wa Masauti, The Voices From Within, nimeisikia sauti, imenieleza, japo hapo mwanzo, alitetea nguvu iliyotumika ni nguvu stahiki, kwa waandamaji wahuni na wahalifu waliokuwa wanataka kumpidua, lakini baada ya kubaini ukweli kuwa sio wote waliouliwa ni wahuni, waandamanaji wahalifu, kuna wengine waliuwawa kwa makosa kwa kupigwa risasi za moto, hawakuwa waandamanaji, wala hawakuuliwa kwenye maandamano, hivyo sasa hata yeye ni binadamu kama binadamu wengine, ana feelings, ana utu, ana moyo, kama nilivyomuelezea sifa zake HAPA

Na yeye sasa ameguswa, ameumia, amejutia na ameomba msamaha kiaina, not expressly kwa kusema samahani, but impliedly kwa kutumia maneno ya faraja ambayo ni apologetic ya neno "Tumeondokewa na wapendwa wetu", ambo hii inaonyesha ameguswa ameumia sasa waliokufa sio wote ni wahalifu bali ni wapendwa wetu.

Kwanza anzia hapa Live Rais Samia: Salaam za Mwaka Mpya
Kisha Mkuu Waufukwe Waufukweni anadadavua
Samia Suluhu Hassan, katika salamu za mwaka mpya 2026 amesema "Tumeondokewa na wapendwa wetu, tuendelee kuwaombea"

Kwenye kusoma maandishi kuna watu wanauwezo wa to read in between the lines, na Kwenye kusikiliza, to listen in between the words, ni wenye uwezo huu pekee ndio watakubaliana na mimi, huu ni msamaha, lakini walio wengi humu, ndio hivyo tena, hawawezi kunielewa.

Kiafrika, Baba ni kichwa cha nyumba, ni ishara ya strength kwenye familia, hata akifanya makosa ya wazi kwa mke, watoto au familia, hawezi kuimba msamaha wa wazi, kuomba msamaha kwa mwanaume ni dalili ya weakness, hivyo unakomaa.

Mfano mzuri ni lile kosa la kawaida la sisi wababa wa Kiafrika kupenda kula kula ovyo haswa vyakula vya hotelini, hata kama chakula cha nyumbani kipo!, mi mwenyewe enzi zangu za ujana, nakiri kupiga misosi sana, nilikuwa napenda sana kula kula vyakula mbalimbali Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?

Wale wababa wacheza mpira, badala ya kupiga mashuti golini, wao wanapenda kupiga mipira ya kona, na badala ya kufurahia mechi za uwanja wa nyumbani, wao wanapenda sana mechi za ugenini,

Kunapotokea magoli ya kucheza rafu au offside tricks, yamekataliwa, mababa huwa hawakubali kuwa wamecheza faulo, au rafu, wanakomaa, kamwe hawaombi msamaha, na kiukweli hawa wamama zetu wa kisasa, huwa wanakasirila sana, hivyo wanawabania, matokeo ni baba hataomba msamaha expressly kusema samahani, hawezi kuomba radhi bali utaona tuu baba amekuwa mdogo kama piriton, with apologetic actions!, kwanza atakuwa anarudi nyumbani mapema na vizawadi zawadi, mara kanga, mara kitenge, perfume, outing, shopping , malovidovi mengi, hivyo mama anabana anabana mwisho anaachia bila kuombwa msamaha rasmi, yanakwisha na maisha yanaendelea.

Sasa kwa kilichotokea ile October 29, kwanza waliotwa wahalifu wahuni, kisha wakashitakiwa kwa uhaini, kisha nguvu iliyotumika kuwadhibiti kwa kutumia risasi za moto, ikatetewa ni nguvu stahiki, lakini sasa imetolewa pole na waliokufa kuitwa wapendwa wetu.

Post ya mkuu wa nchi, ni post ya kiume, hata ikishikwa na mwanamke , mama akiwa ni mkuu wa nchi, anabadilika ana behave ki baba baba, hivyo na yeye hata ukifanya makosa, hawezi kuomba msamaha. Je Wajua Japo Baba ni Kichwa cha Nyumba, Mama Anaweza Kugeuka Kichwa Akawa Baba? Wajua Rais Samia ni Kichwa kama Baba?.

Hivyo hii the voices from within, imeniambia kuwa hata yeye ni binadamu mwenye moyo wa nyama, na utu, hivyo pia ameumizwa na vifo viliyotokea kimakosa ndio maana sasa anawaita wapendwa.

Sijui kwa wenzetu Waislamu, ila kwa sisi Wakrsto, kwenye sala zetu, zina sehemu 4, AUSO, Abudu, Ungama, Shukuru, Omba, Hivyo kwenye sala zetu lazima kwanza kuomba msamaha kwa makosa yetu, na kuwasamehe waliotukosea,
"Utusamehe dhambi zetu kama na sisi tunavyo wasamehe waliotukosea"
Usipo samehe sala zako ni bure
Asema Bwana kwenye Isaya 1:18-19
"Haya, njoni, tusemezane, asema BWANA. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama bendera, zitakuwa kama sufu. Kama mkikubali na kutii mtakula mema ya nchi"

Na kwa Waislamu kuna samehe saba mara sabini.

Hakuna dhambi isiyo sameheka!.

Hivyo nawaomba Watanzania wenzangu,tumsamehe,yaliyopita sii ndwele, tugange yaliyopo na yajayo kama nilivyo shauri hapa Kwaheri 2025, Ulikuwa Mwaka wa Majanga!. Yaliyopita si Ndwele, Tugange Yajayo!. Karibu 2026, Uwe Mwaka wa Kheri!. Ni Mwaka wa Katiba Mpya!, Inakuja..!

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali
 
Amejutia?
Give me a break

Mkuu Paskali.
Unachokiita uhuru wa kila mtu kuwaza ama kusema ni kama unajitahidi kutubeza na kutubananga sisi ambao tumeshuhudia unyama mzito uliofanywa chinj ya huyu gaidi.

Nina haki ya kumuita Gaidi kwa sababu kutokana na amri zake na mipasho anayoiita hotuba kwa umma, tumemsikia, tumemuona na tumeshuhudia akitoa maelekezo, amri na maelekezo kwa vyombo vya ulinzi na usalama kuwatenda raia kama maadui waliovamia nchi

Paskali kaka yangu, unafahamu kwamba sheria ya TISS iliyorekebishwa mwaka 2024 ndiyo imemuonesha ni jahili wa namna gani kwa Watanzania?

Mimi kama Msanii, ninaamini njia pekee ya yeye kuomba msamaha ni kujiuzulu nafasi aliyoikwapua 29 Oktoba na kupisha serikali ya mpito ili tupate katiba mpya kuelekea Uchaguzi Mkuu.

Sijakuona Paskali ukiitaka serikali kuwajibika kwa maovu inqyoendelea kuwavafanyia Wananchi kabla na baada ya Oktoba 29/2025.

Watanzania wa leo siyo wale wa ĵuzi ambao wanapumbazika na hoja za kudeki maovu bila wahusika kuwajibika
 
What is this 😂😂😂😂😀!!! Mzee Paschal kwa heshima yako kubwa ni bora ungekaa kimya tu. Maisha ya watu yamepotezwa, walio waua wananchi wapo na hawajaguswa.

Sheria inasemaje? Mhalifu lazima afikishwe mahakamani na mahakama itatoa uamuzi kama huyo mtu ana hatia au hana. Kwanini unapiga debe la msamaha wakati kuna watu hata maiti za ndugu zao hawakuzipata?
 
Acha uchawa we mzee, kwanza nani amekuchagua uwe msemaji wetu???

Una maana yule mama mjamzito wa Arusha aliyepgwa risasi mgongoni akafariki haki yake iende bure???

Anyway samuya akiweza kuwafufua aliowaua sie hatuna shida nae....
 
Wanabodi

Kama kawaida yangu, mimi Mzee wa Masauti, The Voices From Within, nimeisikia sauti, imenieleza, japo hapo mwanzo, alitetea nguvu iliyotumika ni nguvu stahiki, kwa waandamaji wahuni na wahalifu waliokuwa wanataka kumpidua, lakini baada ya kubaini ukweli kuwa kuna wengine waliouliwa kwa kupigwa risasi za moto, hawakuwa waandamanaji, wala hawakuuliwa kwenye maandamano, hivyo sasa hata yeye ameumia, ameguswa, amejutia na ameomba msamaha kiaina, not expressly kwa kusema samahani, but impliedly kwa kutumia maneno ya apologetic kuonyesha ameguswa ameumia sasa waliokufa amewaita wapendwa wetu..

Kiafrika, Baba ni kichwa cha nyumba, ni ishara ya strength kwenye familia, hata akifanya makosa ya wazi kwa mke, watoto au familia, hawezi kuimba msamaha wa wazi, kuomba msamaha kwa mwanaume ni dalili ya weakness, hivyo unakomaa.

Mfano mzuri ni lile kosa la kawaida la Mababa wa Kiafrika kupenda kula vyakula vya hotelini, hata kama kuna chakula nyumbani.

Wale wababa wacheza mpira, badala ya kupiga mashuti golini, wao wanapenda kupiga mipira ya kona, na badala ya kufurahia mechi za uwanja wa nyumbani, wao wanapenda sana mechi za ugenini,

Kunapotokea magoli ya kucheza rafu au offside tricks, mababa huwa hawakubali kuwa wamecheza faulo, wanakomaa, kamwe hawaombi msamaha, na kiukweli hawa wamama zetu wa kisasa, huwa wanakasirila sana, hivyo wanawabania, matokeo ni baba hataomba msamaha expressly kusema samahani, hawezi kuomba radhi bali utaona tuu baba amekuwa ndogo, with apologetic A
actions!, kwanza atakuwa anarudi nyumbani mapema na vizawadi zawadi, mara kanga, mara kitenge, perfume, outing, shopping , malovidovi mengi, hivyo mama anabana anabana mwisho anaachia bila kuombwa msamaha rasmi, na yanakwisha.

Sasa kwa kilichotokea ile October 29, kwanza waliotwa wahalifu wahuni, kisha wakashitakiwa kwa uhaini, kisha nguvu iliyotumika kuwadhibiti kwa kutumia risasi za moto, ikatetewa ni nguvu stahiki,
Lakini sasa imetolewa pole na waliokufa kuitwa wapendwa wetu.

Hivyo kama ilivyo kwa wababa, hata wakikosea hawawezi kuomba radhi kwa kuomba msamaha kwa kusema samahani, ukiambiwa tuu pole, ndio msamaha wenyewe.

Post ya mkuu wa nchi, ni post ya kiume, hata ikishikwa na mwanamke , mama akiwa ni mkuu wa nchi, anabadilika ana behave ki baba baba, hivyo na yeye hata ukifanya makosa, hawezi kuomba msamaha.

Hivyo hii the voices from within, imeniambia kuwa hata yeye ni binadamu mwenye moyo wa nyama, na utu, hivyo pia ameumizwa na vifo viliyotokea
Hivyo kauli hii

Ni apologetic.

Sijui kwa wenzetu Waislamu, ila sisi Wakrsto, kwenye sala zetu, zina sehemu 4, AUSO
Abdul
Ungama
Shukuru
Omba,
Hivyo kwenye sala zetu lazima kwanza kuomba msamaha kwa makosa yetu, na kuwasamehe waliotukosea,

Hivyo nawaomba Watanzania wenzangu, tumsamehe,yaliyopita sii ndwele, tugange yaliyopo na yajayo.

Mungu Ibariki Tanzania.
ngoja Nyani Ngabu akuoneshw kazi.
 
Tatizo wagalatia wanaiingiza udini kwenye mauaji ya Oct29
Kuna waliouwawa bila kukusudia kwa kutojihusisha maandamano ya vurugu, wizi, na uharibifu
Ila kuna wale waliokuwa kazini kabisa kuiba, kuchoma na kuharibu mali za nchi au za watu binafsi kwa kuwa tu wana ukwasi na sio hata wana uhusiano na CCM
Na wasilitete sababu za mbona Bakhresa au Dewji hajawaja chomewa, sababu ni kuwa hawakupata nafasi ya kufika kwenye biashara zao kwa kudhibitiwa na risasi za moto, lakini wangevuka pale Mwembechai, Kariakoo yote ingechomwa na kuiba na mali uharibifu

Sijawahi kumtetea Samuya, zaidi ya kwanini anapingwa kutumia udini
Kwanini kila anaempinga ni aidha mchungaji, shirika la kidini, au wananchi wamevaa msalaba mkubwa au ameshika bibilia au kasimama nyuma yake kuna msalaba kana kwamba yuko kanisani.
Halafu mnashangaa masheikh na wao wanatetea kwa maoni yao.

Kabla hajasamehewa, ni kweli kuna waliouliwa kimakosa, ambapo serikali yake inahitaji kuwajibika, hasa waliouliwa majumbani kwao au kwenye bisahara zao, lakini sio wale walikuwa mitaani kuharibu na kuiba mali za watu.
 
Mkuu
Please cross the T's na dot the i's zote kwenye andiko lako.

Kimsingi jenga mantiki
 
hilo swala la udini linafanywa maksudi na sio kwamba hawajui wanachofanya, overall ni mission endelevu
 
Hapana msamaha. Alishaonyesha jeuri iliyopitiliza. Tuache tu karma ichukue mkondo wake.. Mtu anafikia hatua ya kusema kwa wazazi kama wasingetaka watoto wao wafe ile tarehe 29, 30, 31 October 2025, basi wangewafungia ndani! Nani anaweza kuwa jeuri hivi duniani hapa halafu akabaki salama? Hivi wanadamu ndio tunajisahau kiasi hiki kisa madaraka, tena ya kupita?! Hapana kwa kweli, this was just too much.

Na huyu wala huwa hajuti. Sasa hivi atatoa kituko kingine cha kutuumiza. Mtasikia kamteua mtoto wake mwingine nafasi za juu, au mtu katekwa na kupotea mazima,.. au kauza sector nyingine ya nchi, au kagawa nusu ya Tanzania kwa waarabu.. Alimradi hapoi kwenye sectors hizi za kuumiza wananchi.
 
Ni muhimu kwa mwandishi wa habari kama wewe kuwa na mchango chanya kwa taifa kwa kutumia nafasi yako kusimamia ukweli, uadilifu na maslahi ya wananchi.

Tunapotarajia uongozi bora, ni wajibu pia wa wanahabari kuwa waadilifu na kujifunza kutoka kwa viongozi waliotangulia kama Mzee Warioba, wanaoweka mbele maslahi ya umma kuliko maslahi binafsi.
 
Tatizo wagalatia wanaiingiza udini kwenye mauaji ya Oct29
Kuna waliouwawa bila kukusudia kwa kutojihusisha maandamano ya vurugu, wizi, na uharibifu
Ila kuna wale waliokuwa kazini kabisa kuiba, kuchoma na kuharibu mali za nchi au za watu binafsi kwa kuwa tu wana ukwasi na sio hata wana uhusiano na CCM
Na wasilitete sababu za mbona Bakhresa au Dewji hajawaja chomewa, sababu ni kuwa hawakupata nafasi ya kufika kwenye biashara zao kwa kudhibitiwa na risasi za moto, lakini wangevuka pale Mwembechai, Kariakoo yote ingechomwa na kuiba na mali uharibifu

Sijawahi kumtetea Samuya, zaidi ya kwanini anapingwa kutumia udini
Kwanini kila anaempinga ni aidha mchungaji, shirika la kidini, au wananchi wamevaa msalaba mkubwa au ameshika bibilia au kasimama nyuma yake kuna msalaba kana kwamba yuko kanisani.
Halafu mnashangaa masheikh na wao wanatetea kwa maoni yao.

Kabla hajasamehewa, ni kweli kuna waliouliwa kimakosa, ambapo serikali yake inahitaji kuwajibika, hasa waliouliwa majumbani kwao au kwenye bisahara zao, lakini sio wale walikuwa mitaani kuharibu na kuiba mali za watu.
Huna akili
 
Wanabodi

Kama kawaida yangu, mimi Mzee wa Masauti, The Voices From Within, nimeisikia sauti, imenieleza, japo hapo mwanzo, alitetea nguvu iliyotumika ni nguvu stahiki, kwa waandamaji wahuni na wahalifu waliokuwa wanataka kumpidua, lakini baada ya kubaini ukweli kuwa kuna wengine waliouliwa kwa makosa kwa kupigwa risasi za moto, hawakuwa waandamanaji, wala hawakuuliwa kwenye maandamano, hivyo sasa hata yeye ameguzwa, ameumia, amejutia na ameomba msamaha kiaina, not expressly kwa kusema samahani, but impliedly kwa kutumia maneno ya apologetic kuonyesha ameguswa ameumia sasa waliokufa amewaita wapendwa wetu..

Kwanza anzia hapa Live Rais Samia: Salaam za Mwaka Mpya
Kisha Mkuu Waufukwe Waufukweni anadadavua

Kiafrika, Baba ni kichwa cha nyumba, ni ishara ya strength kwenye familia, hata akifanya makosa ya wazi kwa mke, watoto au familia, hawezi kuimba msamaha wa wazi, kuomba msamaha kwa mwanaume ni dalili ya weakness, hivyo unakomaa.

Mfano mzuri ni lile kosa la kawaida la sisi wababa wa Kiafrika kupenda kula kula ovyo haswa vyakula vya hotelini, hata kama chakula cha nyumbani kipo!, mimi mwenyewe nikiri zamani nilikuwa napenda sana kula kula vyakula mbalimbali Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?

Wale wababa wacheza mpira, badala ya kupiga mashuti golini, wao wanapenda kupiga mipira ya kona, na badala ya kufurahia mechi za uwanja wa nyumbani, wao wanapenda sana mechi za ugenini,

Kunapotokea magoli ya kucheza rafu au offside tricks, mababa huwa hawakubali kuwa wamecheza faulo, wanakomaa, kamwe hawaombi msamaha, na kiukweli hawa wamama zetu wa kisasa, huwa wanakasirila sana, hivyo wanawabania, matokeo ni baba hataomba msamaha expressly kusema samahani, hawezi kuomba radhi bali utaona tuu baba amekuwa ndogo, with apologetic A
actions!, kwanza atakuwa anarudi nyumbani mapema na vizawadi zawadi, mara kanga, mara kitenge, perfume, outing, shopping , malovidovi mengi, hivyo mama anabana anabana mwisho anaachia bila kuombwa msamaha rasmi, na yanakwisha.

Sasa kwa kilichotokea ile October 29, kwanza waliotwa wahalifu wahuni, kisha wakashitakiwa kwa uhaini, kisha nguvu iliyotumika kuwadhibiti kwa kutumia risasi za moto, ikatetewa ni nguvu stahiki,
Lakini sasa imetolewa pole na waliokufa kuitwa wapendwa wetu.

Hivyo kama ilivyo kwa wababa, hata wakikosea hawawezi kuomba radhi kwa kuomba msamaha kwa kusema samahani, ukiambiwa tuu pole, ndio msamaha wenyewe.

Post ya mkuu wa nchi, ni post ya kiume, hata ikishikwa na mwanamke , mama akiwa ni mkuu wa nchi, anabadilika ana behave ki baba baba, hivyo na yeye hata ukifanya makosa, hawezi kuomba msamaha.https://www.jamiiforums.com/threads/je-wajua-japo-baba-ni-kichwa-cha-nyumba-mama-anaweza-kugeuka-kichwa-akawa-baba-wajua-rais-samia-ni-kichwa-kama-baba.2312783/post-53008769

Hivyo hii the voices from within, imeniambia kuwa hata yeye ni binadamu mwenye moyo wa nyama, na utu, hivyo pia ameumizwa na vifo viliyotokea
Hivyo kauli hii

Ni apologetic.

Sijui kwa wenzetu Waislamu, ila sisi Wakrsto, kwenye sala zetu, zina sehemu 4, AUSO
Abdul
Ungama
Shukuru
Omba,
Hivyo kwenye sala zetu lazima kwanza kuomba msamaha kwa makosa yetu, na kuwasamehe waliotukosea,

Hivyo nawaomba Watanzania wenzangu, tumsamehe,yaliyopita sii ndwele, tugange yaliyopo na yajayo kama nilivyo shauri hapa Kwaheri 2025, Ulikuwa Mwaka wa Majanga!. Yaliyopita si Ndwele, Tugange Yajayo!. Karibu 2026, Uwe Mwaka wa Kheri!. Ni Mwaka wa Katiba Mpya!, Inakuja..!

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali

Msamaha kwa mtu mwenye kiburi na dharau bro unapoteza muda. Yeye ameona sawa kuuwa, kuteka, kuiba kura, kufunga watu bila sababu na Polisi kuteka na kufanya watu matusi kinyume na maumbile halafu kuna mtu anataka tusahau tu pamoja na wizi wa kura! Sasa tutakuwa na msimamo gani hapa Duniani ? Yaani tumeumbwa kuwa machawa tu hapa Duniani? Kweli🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️
 
Back
Top Bottom