Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

Wanabodi
Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa Roho.

Hii ni thread ya maono tuu ya unabii, sio utabiri, sio trends readings, ni unaisikia tuu sauti inakuambia jambo fulani bila kukuambia sababu za jambo hilo, na huwezi kuuliza, hivyo nami naomba kuwaeleza tuu kile nilichosikia kwenye sauti hiyo niliyoisikia na naomba msiniulize kitu kwasababu sio mimi ni sauti za "Voices from Within", yaani sauti toka ndani yako!, the inner you. The inner you ya kila mwanadamu ni YEYE aliyemuumba na kumpa uhai, yaani YEYE ambaye ni YEYE, ila kuna yeye anayependa sana kuji disguise kuwa ni YEYE lakini kiukweli sii YEYE!.

Hili la YEYE na yeye, nimewahi kulihubiri sana humu na kuwasaidia watu jinsi ya kumtambua YEYE halisi ambaye ni YEYE na kumtofautisha YEYE na yeye fake disguised as YEYE Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!.

Sasa kwa vile yeye fake ambaye siye YEYE, huweza kujipenyeza kule kule ndani yako kwenye the inner you na kujiposition kama YEYE na kutoa sauti, ukadhani ni YEYE kumbe sii
YEYE bali ni yeye tuu!, hivyo hii sauti niliyoisikia kama ni ya YEYE, mwenyewe the original "The One and Only" then 2025 hili lazima litatimia!, ila kama ni yeye, then halitatimia!.

Leo nilikuwa naandika bandiko fulani humu JF, ndipo ghafla nikaisikia sauti (voices from within) kuwa Rais wa JMT kwa mwaka 2025 should be a man kwa kipindi kimoja, then 2030 ndipo tuje na mgombea mwanamke!.

Sauti hiyo inamaanisha inamtaka Rais Samia ajiandae kisaikolojia kuwa ni rais wa JMT kwa kipindi kimoja tuu cha mpito cha awamu moja kuimalizia awamu ya pili ya JPM hadi 2025 na afuatiwe na rais mwanaume atakaye kaa kwa kipindi kimoja tuu hadi 2030 sasa ndipo tuje na mgombea mwanamke!.

Sauti hiyo maana yake inamaanisha ni Rais Samia yeye mwenyewe, willingly anatakiwa kujiandaa kisaikolojia kuwa ni rais wa awamu moja, na kumuandaa mtu wa kumkabidhi urais awamu yake ya pili ya miaka 5 yake iliyobakia ya 2025 - 2030!.

Kwa mujibu wa utaratibu wa CCM, hakuna mwana CCM yeyote anayeruhusiwa kùomba fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais kwa pande zote mbili za muungano. Mgombea urais wa CCM kwa 2025 kwa huku bara ni rais aliyepo madarakani sasa, Rais Samia na kwa Zanzibar ni Dr. Mwinyi, kwasababu wote wiwili hii ni awamu yao ya kwanza!. Hivyo utaratibu wa CCM ni ule utaratibu wa mserereko wa kuchapisha na kutoa fomu moja tuu ya urais kwa pande zote mbili za muungano ambao kiukweli kabisa huu ni utaratibu wa zengwe!.

Kama sauti hii nilioisikia ni sauti ya kweli ya kwake YEYE, then hii inamaana, huu ni ujumbe kwa Rais Samia, ama Rais Samia yeye mwenyewe ameisha ambiwa na YEYE, ama YEYE ameanza kutuambia kwanza akina sisi wengine wa kutangazia umma ili kuanza kuwaandaa Watanzania kisaikolojia kuhusu 2025,kisha atamtaarifu mhusika mwenyewe.

YEYE huwa ana kawaida na mtindo kwa baadhi ya mambo, kuwatumia watu wengine kwanza kabla hajawaambia wahusika wenyewe, mfano mzuri ni huu Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli wakati huyu aliyeezwa haya ilikuwa ni 2014, by that time hata JPM alikuwa bado hajaambiwa kuwa ni yeye 2015!. Hivyo kuna uwezekano hata sauti hii ya bandiko hili, usikute hata Rais Samia mwenyewe bado hajaambiwa hili na YEYE, ila kama ni sauti yake YEYE mwenyewe halisi, then na Rais Samia pia ataambiwa wakati wake wa kuambiwa ukifika!.

Hivyo namshauri Mama kipenzi, as long as hajaambiwa, yeye aendelee tuu na maadalizi yake ya 2025 kwa kujiandaa yeye kama yeye, lakini pia afanye na maandalizi ya kisaikolojia kuisubiria hiyo sauti ya uthibitisho kuwa 2025 ni yeye Rais Samia ndiye aliyepangiwa na YEYE, kama ni yeye ndiye aliyepangiwa na YEYE, then 2025 ni yeye Samia!.

Lakini kama ataisikia hii sauti, sio vibaya kama atajiandaa na kumuandaa mtu wa kumpokea, kwa maoni yangu, Dr. Hussein Mwinyi atatufaa sana, hivyo namuomba Rais Samia akiisikia hii sauti, amuombe Dr. Hussein Mwinyi, kwa uchaguzi wa urais wa 2025 aje kugombea urais wa JMT, kuimalizia awamu ya pili ya Mama Samia kwa yeye kukubali kuwa rais wa JMT kwa awamu moja tuu.

Na kipindi hicho cha 2025- 2030 ndipo sasa sasa tufanye grooming ya Mwanamke competant candidate atakaye kuja kugombea urais wa JMT kwa 2030, na kwa maoni yangu, Mwanamke huyu sii mwingine yeyote zaidi ya Dr. Tulia Akson Mwansasu, Spika wa sasa wa Bunge la JMT.

Japo Tanzania, tulipania 2025 twende na mgombea mwanamke, na mimi niliunga mkono hoja hii Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
kama hii sauti ni yake YEYE kweli, then inamaanisha kwa uchaguzi wa 2025, Tanzania tuna mgombea mmoja tuu Mwanamke, yaani the one and only ambaye ama anatakiwa na YEYE apumzike ampishe mgombea mwanaume, ama ...

Japo sio sio lazima kusema kila unachosikia, kwa sababu sometimes sio kila unachosikia kwenye the voices from within ni sauti kutoka kwake YEYE au ni maono, sauti nyingine ni sauti za kina yeye tuu na sio sauti yake YEYE!.

Hata yale maono ya kwenye ndoto, sio kila ndoto ni maono kutoka kwa Mungu, kuna ndoto nyingine, ni ndoto za shetani kama ile "ndoto ya Lema", ukisikia sauti ukahisi inaweza isiwe ni sauti ya Mungu, au ukiota ndoto ya jambo fulani la ajabu ajabu ukahisi jambo hilo sio la kheri, sio lazima uliseme, ila ukilisema lina faida moja, kufanya maandalizi ya kabla!.

Mfano ni tangu ile August 14, 2014 nilipoelezwa rais ajaye wa Tanzania ni Magufuli, na nilielezwa sababu za kwanini ni Magufuli, nami nikaeleza humu kwa rais wetu ajae ni Magufuli lakini hizo sababu za kwanini ni Magufuli, japo nilielezwa lakini mimi sikuzisema humu!. Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli, hivyo hiyo 2014 wakati nikisema hayo, unaweza kukuta hata JPM mwenyewe alikuwa hajui kuwa ndiye yeye!.

Hivyo hata sauti hii niliyoisikia leo, 2022, kuhusu 2025, usikute hata Mama Samia mwenyewe bado hajui kuwa 2025 sii yeye kwasababu yeye bado hajaelezwa na YEYE kuwa sio yeye, na ndio sababu ni Rais Samia ndiye aliyependekeza 2025 twende na mgombea Mwanamke kumaanisha ni yeye!.

Unaweza kuta aliyepangiwa na YEYE kuwa rais wetu 2025 ni Mama Samia mwenyewe, baada ya kuingia by default kuwa rais wa JMT kwa awamu hii ya kwanza, sasa anajipanga kuendelea awamu ya pili, properly kwa kuchaguliwa na kura za Watanzania, ila kugombea kwake ni kupitia ule mserereko wa CCM , huku Dr. Mwinyi akiji set for his second term in Zanzibar kwa mserereko wa CCM na wala hajui kuwa kuna sauti inamtaka yeye ndiye aje awe rais wa JMT, 2025!, hivyo maono kama haya, yanasaidia sana kuwaandaa watu kisaikolojia!.

Hata ile siku niliyoisikia sauti hii
Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini... Spika Job Ndugai hakujua kuwa yeye hatakuwa Spika, wala Dr. Tulia hakujua kuwa yeye ndiye atakuja kuwa spika ajae!.

Hata ile siku namzungumzia huyu DC, Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam DC mwenyewe alikuwa hajui, na watu humu wakanidhania mimi ni mtu wa kule naniliu na kudhani nimeleta za jikoni!.

Hili la Mwinyi kuja huku, sio la sauti, hili ni langu tuu, maana usikute pia ni mpango ya YEYE, kumfanya huyu jamaa Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii maana
wakati nikiandika hayo, Dr. Shein alikuwa hajui, hivyo hata saa hizi ninapoandika hapa, usikute huyu jamaa wala hajajijua kuwa yeye ndiye anapaswa aje awe rais ajaye wa Zanzibar!. Hii nibkufuatia dhulma kubwa iliyokuwa ikifanyika Zanzibar kwa miaka na miaka, Elections 2015 - Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda lakini sasa kwavile Samia ni mpenda haki, msema haki na mtenda haki, for the first time in Zanzibar tangu baada ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya January 12, 1964, uchaguzi wa 2025 unaweza kuwatendea haki!.

Hitimisho
Kwa vile mimi ni Msukuma, naweza kutuhumiwa ni sehemu ya Sukuma Gang wasiotaka Samia aendelee 2025 to 2030. Naomba kwanza niwathibitishie I don't believe hiki kitu kinachoitwa ,"The Sukuma Gang" kina exist in reality!, hakuna kitu kinachoitwa Sukuma Gang, ni just a fictitious group in mind za watu waliofilisika kimawazo!.

Mimi ni Msukuma na sio Sukuma Gang, ila pia ni Mimi ndio nilimtabiria Samia urais wa JMT toka 2017, Pascal Mayalla alitabiri mwaka 2017 kuwa Samia atakuwa Rais wa JMT baada ya 2020
nikamshauri Blaza asigombee 2020 ampishe Samia, but no one takes me seriously, kama sauti hii!, you never know, kama JPM angeusikiliza ushauri wa bandiko hili Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” nilishauri

probably ange...

Mwaka 2020 nikasema humu "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
nilisema

Hivyo it's up to Mama, to decide, kuutafuta ukweli wa sauti hizi, au kuzipuuzia na kuendelea na mipango yake ya 2025.

Kuna kitu pia nimeambiwa ni kwa nini Mama amuombe Mwinyi, ila sio lazima kusema kila kitu. Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa?
Hivyo mpaka umelisikia hili nimelisema, ujue lina maslahi kwa Taifa.

Kitu muhimu ni nimesikia sauti, nimesema nilichosikia, mimi nimetimiza wajibu wangu!.

Mungu Mbariki Rais wetu Samia aisikie Sauti YAKO!.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali
(Mzee wa Sauti, "The Voices From Within)

Baadhi ya Mchango very objective

Mkuu idawa , kwanza asante sana kwa mchango wako na uwezo wako wa kunisoma in between the lines, ila naomba nikuhakikishie, it's not my making, it's the voices from within!.

Sikukisema vyote nilivyo ambiwa, na hiyo sauti labda nikivisema vyote itasaidia kwa kuvi mitigate kabla ya 2025 ili Mama aendelee.

Kinachonifanya nisiseme kila kitu ni kwasababu kauli nyingine huumba!. Nisije nikasema humu, halafu yakatokea ya kutokea tukaaanza kunyoosheana vidole!.

Hata mimi kujiunga JF nikauli za wana JF ile 2008 nikiwa naendesha bike Morogoro Rd mitaa ya Manzese, kuna mwana JF akanianzishia uzi humu kuhusu uendeshaji wangu wa bike.

Kilichofuata hata wiki haikupita... mimi chali!. Uzi ule wa kwanza ukafutwa na kupandishwa uzi huu
Pascal Mayalla apata ajali..... na ndipo nami nikatua rasmi humu JF na baada ya mwaka nikatoa shukrani
Waraka wa Pascal Mayalla - Asanteni Sana!
from then mimi ni mtu makini sana
naamini kwenye nguvu ya kauli Wito Kwa Watanzania:Tuitumie Nguvu ya Kauli, Kumuingiza Ikulu Kiongozi Tunayemtaka!. Mdomo Huumba!.

Mimi ni muumini kuwa humu jf tuna manabii wetu wa ki jf jf TZ Tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!

Pia humu JF tuna wanga wengi tuu Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!

P
Mchango mwingine very objective

Japo JF mwanzo was meant to be the home of great thinkers, great mind who discuss ideas, those who can read and think, but as times go by, simple minds who discuss people wakajazana humu, ordinary mind who discuss events nao wakajazana humu, hivyo sasa jf ni home to everyone, simple minds, ordinary minds na great minds, ukipandisha bandiko linalohitaji great mind to digest, only the great mind ndio wataelewa unazungumzia nini, simple minds na ordinary minds wataishia chaka.

Kwa kukusaidia wewe and the like minded people wa level yako, bandiko hili Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
Maana yake
  1. Marais wa nchi hupangwa na YEYE.
  2. JPM yeye alipanga kumalizia awamu yake ya pili lakini YEYE akampangia kazi nyingine na badala yake ndiye akatuletea Samia.
  3. Hivyo Rais Samia hakupanga yeye kuwa rais wa JMT bali alipangiwa na YEYE.
  4. Urais haupangi wewe, kazi yako ni just to wish, Ila ili uwe wewe na wish yako itimie, ni lazima iwe imepangwa na YEYE.
  5. Rais Samia alipoulizwa na Kikeke kama atagombea 2025 alijibu vizuri kuwa mambo ya 2025 tumwachie mpangaji Mungu.
  6. Kwa vile Tanzania hatukuwahi kuchagua rais Mwanamke, Kwa Samia imetokea tuu kwa kudra za Mungu, then lets wish 2025 tusimame na mgombea Mwanamke.
  7. Nikasema mwanamke huyo, sio lazima awe ni Rais Samia, bali ni yule aliyepangiwa na YEYE.
  8. Hivyo kama 2025, ni Samia ndiye aliyepangiwa na YEYE, then who are we to say no?.
  9. Hivyo kama yeye ndiye aliyepangiwa na YEYE, then 2025 ni yeye.
  10. soma tena
Hivyo wakati tukisubiri 2025 huku tukienda na Samia, hivi visauti sauti sasa ndio vinaanza. Kwa vile no one is certainly sure of tomorrow, na hakuna uthibitisho wa hizi sauti , voices from within kama ni sauti ya YEYE au yeye, ukisikia sauti inakuambia kitu, kama kitu hicho kinasemeka, kiseme, ili kijulikane, kama ni kizuri kipepewe, kama ni sio kizuri kitafutiwe jinsi.

Natumaini nimeeleweka.
P.
Update

Duh...!. Kwa uamuzi huu, ina maana HII sauti nilioisikia sio sauti yake YEYE bali ni sauti ya yeye!.

Angalizo: Kama sauti HII
ni yake YEYE mwenyewe halisi na mhusika ameambiwa ila akatia pamba masikioni, kujifanya hajasikia, then kati ya 2025 na 2030, YEYE mwenyewe atasema nasi!.
Kazi iendelee!.
P
NO REFORMS NO ELECTION, Watanzania wanajua vyama vingine nje ya CHADEMA ni Mali ya CCM hivyo uchaguzi bila CHADEMA tafsiri yake ni kwamba CCM inasimama peke yake kwenye uchaguzi na kujipigia kura.NO REFORMS NO ELECTION Hesabu zetu tunazifungia hapo.
 
Wanabodi
Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa Roho.

Hii ni thread ya maono tuu ya unabii, sio utabiri, sio trends readings, ni unaisikia tuu sauti inakuambia jambo fulani bila kukuambia sababu za jambo hilo, na huwezi kuuliza, hivyo nami naomba kuwaeleza tuu kile nilichosikia kwenye sauti hiyo niliyoisikia na naomba msiniulize kitu kwasababu sio mimi ni sauti za "Voices from Within", yaani sauti toka ndani yako!, the inner you. The inner you ya kila mwanadamu ni YEYE aliyemuumba na kumpa uhai, yaani YEYE ambaye ni YEYE, ila ndani ya kila mwanadamu, pia kuna yeye ambaye sii YEYE. Huyu yeye ambaye sii YEYE, na anakaa sambamba ya YEYE ambaye ni YEYE, siku zote anapenda sana kuji disguise kuwa yeye ndiye YEYE, lakini ukweli huyu yeye, sii YEYE!.

Hili la YEYE na yeye, nimewahi kulihubiri sana humu na kuwasaidia watu jinsi ya kumtambua YEYE halisi ambaye ni YEYE na kumtofautisha YEYE ambaye ni YEYE halisi na yeye fake ambaye sii YEYE but disguised as YEYE, nimelifundisha humu Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!.

Sasa kwa vile yeye fake ambaye siye YEYE, huweza kujipenyeza kule kule ndani yako kwenye the inner you na kujiposition kama YEYE na kutoa sauti, ukadhani ni YEYE kumbe sii YEYE bali ni yeye tuu!, hivyo hii sauti niliyoisikia kama ni sauti ya kwake YEYE, mwenyewe the original "The One and Only" then 2025 hili lazima litatimia!, ila kama ni sauti ya yule yeye, then halitatimia!.

Leo nilikuwa naandika bandiko fulani humu JF, ndipo ghafla nikaisikia sauti (voices from within) kuwa Rais wa JMT kwa mwaka 2025 should be a man, a male,and not a female!. Huyu male atakaa kwa kipindi kimoja, then 2030 ndipo tuje na mgombea mwanamke!, a female!.

Sauti hiyo inamaanisha inamtaka Rais Samia ajiandae kisaikolojia kuwa ni rais wa JMT kwa kipindi kimoja tuu cha mpito cha awamu moja kuimalizia awamu ya pili ya JPM hadi 2025 na afuatiwe na rais mwanaume atakaye kaa kwa kipindi kimoja tuu hadi 2030 sasa ndipo tuje na mgombea mwanamke!.

Sauti hiyo maana yake inamaanisha ni Rais Samia yeye mwenyewe, willingly anatakiwa kujiandaa kisaikolojia kuwa ni rais wa awamu moja, na kumuandaa mtu wa kumkabidhi urais awamu yake ya pili ya miaka 5 yake iliyobakia ya 2025 - 2030!.

Kwa mujibu wa utaratibu wa CCM, hakuna mwana CCM yeyote anayeruhusiwa kùomba fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais kwa pande zote mbili za muungano kwa uchaguzi wa 2025, wanatumia utaratibu wao unaoitwa mserereko!.

Hivyo mgombea urais wa CCM kwa 2025 kwa huku bara ni rais aliyepo madarakani sasa, Rais Samia na kwa upande wa Zanzibar ni Dr. Mwinyi, kwasababu wote wiwili hii ni awamu yao ya kwanza!. Hivyo utaratibu wa CCM ni ule utaratibu wa mserereko wa kuchapisha na kutoa fomu moja tuu ya urais kwa pande zote mbili za muungano ambao kiukweli kabisa japo huu ni utaratibu uliowekwa kwa lengo zuri la kuzuia duplicity kwa rais ambaye ameisha sailiwa, utaratibu huu ukitumika 2025 , utakuwa ni utaratihu wa zengwe!, kwasababu japo Rais Samia hakuwahi kusailiwa kwa nafasi ya urais wa JMT, yeye ndiye alikuwa VP wa JPM, kila kura iliyomchagua JPM,pia ilimchagua Samia!

Kama sauti hii nilioisikia ni sauti ya kweli ya kwake YEYE, then hii inamaana, huu ni ujumbe kwa Rais Samia, ama Rais Samia yeye mwenyewe ameisha ambiwa na YEYE, ama YEYE ameanza kutuambia kwanza akina sisi wengine wa kutangazia umma ili kuanza kuwaandaa Watanzania kisaikolojia kuhusu 2025,kisha atamtaarifu mhusika mwenyewe wakati muafaka ukifika。

YEYE huwa ana kawaida na mtindo kwa baadhi ya mambo, kuwatumia watu wengine kwanza kabla hajawaambia wahusika wenyewe, mfano mzuri ni huu Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli wakati huyu aliyeezwa haya ilikuwa ni 2014, by that time hata JPM alikuwa bado hajaambiwa kuwa ni yeye 2015!. Hivyo kuna uwezekano hata sauti hii ya bandiko hili, usikute hata Rais Samia mwenyewe bado hajaambiwa hili na YEYE, ila kama ni sauti yake YEYE mwenyewe halisi, then na Rais Samia pia ataambiwa wakati wake wa kuambiwa ukifika!.

Hivyo namshauri Mama kipenzi, as long as bado hajaambiwa, yeye aendelee tuu na maadalizi yake ya 2025 kwa kujiandaa yeye kama yeye, lakini pia afanye na maandalizi ya kisaikolojia kuisubiria hiyo sauti ya uthibitisho kuwa 2025 ni yeye Rais Samia ndiye aliyepangiwa na YEYE, kama ni yeye ndiye aliyepangiwa na YEYE, then 2025 ni yeye Samia!.

Lakini kama ataisikia hii sauti, namshauri asiipuuzie, sio vibaya kama atajiandaa kisaikolojia kuwa rais wa awamu moja na kumuandaa mtu wa kumpokea hiyo 2025, na kwa maoni yangu, Dr. Hussein Mwinyi atatufaa sana, hivyo namuomba Rais Samia akiisikia hii sauti, amuombe Dr. Hussein Mwinyi, kwa uchaguzi wa urais wa 2025 aje kugombea urais wa JMT, kuimalizia awamu ya pili ya Mama Samia kwa yeye kukubali kuwa rais wa JMT kwa awamu moja tuu.

Na kipindi hicho cha 2025- 2030 ndipo sasa tufanye grooming ya Mwanamke competant candidate atakaye kuja kugombea urais wa JMT kwa 2030, na kwa maoni yangu, Mwanamke huyu sii mwingine yeyote zaidi ya Dr. Tulia Akson Mwansasu, Spika wa sasa wa Bunge la JMT.

Japo Tanzania, tulipania 2025 twende na mgombea mwanamke, na mimi niliunga mkono hoja hii Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
kama hii sauti ni yake YEYE kweli, then inamaanisha kwa uchaguzi wa 2025, Tanzania tuna mgombea mmoja tuu Mwanamke, yaani the one and only ambaye ama anatakiwa na YEYE apumzike ampishe mgombea mwanaume, ama ...

Japo sio sio lazima kusema kila unachosikia, kwa sababu sometimes sio kila unachosikia kwenye the voices from within ni sauti kutoka kwake YEYE au ni maono, sauti nyingine ni sauti za kina yeye tuu na sio sauti yake YEYE!.

Hata yale maono ya kwenye ndoto, sio kila ndoto ni maono kutoka kwa Mungu, kuna ndoto nyingine, ni ndoto za shetani kama ile "ndoto ya Lema", ukisikia sauti ukahisi inaweza isiwe ni sauti ya Mungu, au ukiota ndoto ya jambo fulani la ajabu ajabu ukahisi jambo hilo sio la kheri, sio lazima uliseme, ila ukilisema lina faida moja, kufanya maandalizi ya kabla!.

Mfano ni tangu ile August 14, 2014 nilipoelezwa rais ajaye wa Tanzania ni Magufuli, na nilielezwa sababu za kwanini ni Magufuli, nami nikaeleza humu kwa rais wetu ajae ni Magufuli lakini hizo sababu za kwanini ni Magufuli, japo nilielezwa lakini mimi sikuzisema humu!. Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli, hivyo hiyo 2014 wakati nikisema hayo, unaweza kukuta hata JPM mwenyewe alikuwa hajui kuwa ndiye yeye!.

Hivyo hata sauti hii niliyoisikia leo, 2022, kuhusu 2025, usikute hata Mama Samia mwenyewe bado hajui kuwa 2025 sii yeye kwasababu yeye Samia bado hajaelezwa na YEYE kuwa sio yeye, na ndio sababu ni Rais Samia ndiye aliyependekeza 2025 twende na mgombea Mwanamke kumaanisha ni yeye!.

Unaweza kuta aliyepangiwa na YEYE kuwa rais wetu 2025 ni Mama Samia mwenyewe, baada ya kuingia by default kuwa rais wa JMT kwa awamu hii ya kwanza, sasa anajipanga kuendelea awamu ya pili, properly kwa kuchaguliwa na kura za Watanzania, ila kugombea kwake ni kupitia ule mserereko wa CCM , huku Dr. Mwinyi akiji set for his second term in Zanzibar kwa mserereko wa CCM na wala hajui kuwa kuna sauti inamtaka yeye ndiye aje awe rais wa JMT, 2025!, hivyo maono kama haya, yanasaidia sana kuwaandaa watu kisaikolojia!.

Hata ile siku niliyoisikia sauti hii
Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini... Spika Job Ndugai hakujua kuwa yeye hatakuwa Spika, wala Dr. Tulia hakujua kuwa yeye ndiye atakuja kuwa spika ajae!.

Hata ile siku namzungumzia huyu DC, Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam DC mwenyewe alikuwa hajui, na watu humu wakanidhania mimi ni mtu wa kule naniliu na kudhani nimeleta za jikoni!.

Hili la Mwinyi kuja huku, sio la sauti, hili ni langu tuu, maana usikute pia ni mpango ya YEYE, kumfanya huyu jamaa Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii maana
wakati nikiandika hayo, Dr. Shein alikuwa hajui, hivyo hata saa hizi ninapoandika hapa, usikute huyu jamaa wala hajajijua kuwa yeye ndiye anapaswa aje awe rais ajaye wa Zanzibar!. Hii nibkufuatia dhulma kubwa iliyokuwa ikifanyika Zanzibar kwa miaka na miaka, Elections 2015 - Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda lakini sasa kwavile Samia ni mpenda haki, msema haki na mtenda haki, for the first time in Zanzibar tangu baada ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya January 12, 1964, uchaguzi wa 2025 unaweza kuwatendea haki!.

Hitimisho
Kwa vile mimi ni Msukuma, naweza kutuhumiwa ni sehemu ya Sukuma Gang wasiotaka Samia aendelee 2025 to 2030. Naomba kwanza niwathibitishie I don't believe hiki kitu kinachoitwa ,"The Sukuma Gang" kina exist in reality!, hakuna kitu kinachoitwa Sukuma Gang, ni just a fictitious group in mind za watu waliofilisika kimawazo!.

Mimi ni Msukuma na sio Sukuma Gang, ila pia ni Mimi ndio nilimtabiria Samia urais wa JMT toka 2017, Pascal Mayalla alitabiri mwaka 2017 kuwa Samia atakuwa Rais wa JMT baada ya 2020
nikamshauri Blaza asigombee 2020 ampishe Samia, but no one takes me seriously, kama sauti hii!, you never know, kama JPM angeusikiliza ushauri wa bandiko hili Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” nilishauri

probably ange...

Mwaka 2020 nikasema humu "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
nilisema

Hivyo it's up to Mama, to decide, kuutafuta ukweli wa sauti hizi, au kuzipuuzia na kuendelea na mipango yake ya 2025.

Kuna kitu pia nimeambiwa ni kwa nini Mama amuombe Mwinyi, ila sio lazima kusema kila kitu. Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa?
Hivyo mpaka umelisikia hili nimelisema, ujue lina maslahi kwa Taifa.

Kitu muhimu ni nimesikia sauti, nimesema nilichosikia, mimi nimetimiza wajibu wangu!.

Mungu Mbariki Rais wetu Samia aisikie Sauti YAKO!.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali
(Mzee wa Sauti, "The Voices From Within)

Baadhi ya Mchango very objective

Mkuu idawa , kwanza asante sana kwa mchango wako na uwezo wako wa kunisoma in between the lines, ila naomba nikuhakikishie, it's not my making, it's the voices from within!.

Sikukisema vyote nilivyo ambiwa, na hiyo sauti labda nikivisema vyote itasaidia kwa kuvi mitigate kabla ya 2025 ili Mama aendelee.

Kinachonifanya nisiseme kila kitu ni kwasababu kauli nyingine huumba!. Nisije nikasema humu, halafu yakatokea ya kutokea tukaaanza kunyoosheana vidole!.

Hata mimi kujiunga JF nikauli za wana JF ile 2008 nikiwa naendesha bike Morogoro Rd mitaa ya Manzese, kuna mwana JF akanianzishia uzi humu kuhusu uendeshaji wangu wa bike.

Kilichofuata hata wiki haikupita... mimi chali!. Uzi ule wa kwanza ukafutwa na kupandishwa uzi huu
Pascal Mayalla apata ajali..... na ndipo nami nikatua rasmi humu JF na baada ya mwaka nikatoa shukrani
Waraka wa Pascal Mayalla - Asanteni Sana!
from then mimi ni mtu makini sana
naamini kwenye nguvu ya kauli Wito Kwa Watanzania:Tuitumie Nguvu ya Kauli, Kumuingiza Ikulu Kiongozi Tunayemtaka!. Mdomo Huumba!.

Mimi ni muumini kuwa humu jf tuna manabii wetu wa ki jf jf TZ Tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!

Pia humu JF tuna wanga wengi tuu Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!

P
Mchango mwingine very objective

Japo JF mwanzo was meant to be the home of great thinkers, great mind who discuss ideas, those who can read and think, but as times go by, simple minds who discuss people wakajazana humu, ordinary mind who discuss events nao wakajazana humu, hivyo sasa jf ni home to everyone, simple minds, ordinary minds na great minds, ukipandisha bandiko linalohitaji great mind to digest, only the great mind ndio wataelewa unazungumzia nini, simple minds na ordinary minds wataishia chaka.

Kwa kukusaidia wewe and the like minded people wa level yako, bandiko hili Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
Maana yake
  1. Marais wa nchi hupangwa na YEYE.
  2. JPM yeye alipanga kumalizia awamu yake ya pili lakini YEYE akampangia kazi nyingine na badala yake ndiye akatuletea Samia.
  3. Hivyo Rais Samia hakupanga yeye kuwa rais wa JMT bali alipangiwa na YEYE.
  4. Urais haupangi wewe, kazi yako ni just to wish, Ila ili uwe wewe na wish yako itimie, ni lazima iwe imepangwa na YEYE.
  5. Rais Samia alipoulizwa na Kikeke kama atagombea 2025 alijibu vizuri kuwa mambo ya 2025 tumwachie mpangaji Mungu.
  6. Kwa vile Tanzania hatukuwahi kuchagua rais Mwanamke, Kwa Samia imetokea tuu kwa kudra za Mungu, then lets wish 2025 tusimame na mgombea Mwanamke.
  7. Nikasema mwanamke huyo, sio lazima awe ni Rais Samia, bali ni yule aliyepangiwa na YEYE.
  8. Hivyo kama 2025, ni Samia ndiye aliyepangiwa na YEYE, then who are we to say no?.
  9. Hivyo kama yeye ndiye aliyepangiwa na YEYE, then 2025 ni yeye.
  10. soma tena
Hivyo wakati tukisubiri 2025 huku tukienda na Samia, hivi visauti sauti sasa ndio vinaanza. Kwa vile no one is certainly sure of tomorrow, na hakuna uthibitisho wa hizi sauti , voices from within kama ni sauti ya YEYE au yeye, ukisikia sauti inakuambia kitu, kama kitu hicho kinasemeka, kiseme, ili kijulikane, kama ni kizuri kipepewe, kama ni sio kizuri kitafutiwe jinsi.

Natumaini nimeeleweka.
P.
Update

Duh...!. Kwa uamuzi huu, ina maana HII sauti nilioisikia sio sauti yake YEYE bali ni sauti ya yeye!.

Angalizo: Kama sauti HII
ni yake YEYE mwenyewe halisi na mhusika ameambiwa ila akatia pamba masikioni, kujifanya hajasikia, then kati ya 2025 na 2030, YEYE mwenyewe atasema nasi!.
Kazi iendelee!.
P
Mmmh
 
Kikwete ndio tatizo, huyo mama ni Rais kimvuli.

Awamu ya 4 na genge lao wamerudi kwa mlango wa nyuma wakitumia cover ya mama.

Inasikitisha sana leo Salum Mwalimu na Luhanga Mpina eti ndio washindani wa mgombea Urais wa Ccm.

Ndio maana wazungu wanaendelea kutudharau sana.
 
KWAKO ALBERT MSANDO

Ninavyojua Albert Msando ni Mwanasheria (Wakili), aliteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya nafasi anayoitumikia hadi sasa.
Kwenye taaluma ya sheria huwa kuna viapo ambavyo ukishaapa basi baadhi ya mambo inakubidi uachane nayo ili kulinda heshima ya taaluma, kwa mfano uongo, kisheria uongo ni kosa la jinai.
Sasa sielewi ukishakuwa Mkuu wa Wilaya au Mkoa, nafasi ambayo ni ya kisiasa kwamba inakubidi uachane na viapo vya awali ambavyo ni vya kitaaluma kisha ukubali kutumikia siasa za uzushi, fitina na kubagazana, upambe na uchawa tunaoushuhudia ndani ya CCM.
Sijui, lakini pia siamini kama ndivyo.

Msando amemuomba Humphrey Polepole wajadili kuhusu katiba ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ibara ya 100(2) inayotamka kwamba "Mkutano Mkuu wa CCM Taifa utakuwa ndio kikao kikuu kupita vyote na ndicho kitakachokuwa na madaraka ya mwisho."

Ni kweli kwamba mkutano mkuu wa taifa ndiyo mkutano mkuu na wenye mamlaka ya mwisho kama ilivyotajwa kwenye ibara hiyo.
Lakini asichokijua Msando "Wakili" huyu au DC huyu, labda kajitoa ufahamu sijui, ni kwamba mkutano mkuu uliomteua na kumchagua Samia ni mkutano mkuu "MAALUMU" tu.
Hivyo inapokuwa kitu kinaitwa "maalumu" maana yake ni cha dhalura, kwa ajili tu ya jambo fulani kama ilivyofanyika kwenye mkutano huo kwani ulikuwa maalumu tu kwa ajili ya kujaza nafasi ya makamo mwenyekiti wa CCM.

Kwa hiyo, mkutano huo haukuwa na jukumu la kuchagua mgombea u-Rais kwa sababu mkutano mkuu wa kuchagua mgombea u-Rais hutangazwa kufanyika baada ya wagombea kuchujwa ktk ngazi ya vikao zaidi ya viwili kabla ya kufikia ngazi mkutano mkuu.
Ina maana Msando na uwakili wake hakuliona wala kujiuliza hivi? Au kaamua kama ilivyo kwa wengine kujichetua na kujitoa ufahamu, kuweka pembeni taaluma na kuwa mpambe asiyetumia hata akili za kawaida tu!?🤦🏻‍♂️

Pili, Albert Msando anahoji kupitia "Ibara ya 14(2) juu ya Haki ya Mwanachama kuhudhuria na kutoa maoni yake katika Mikutano ya CCM pale ambapo anahusika kwa mujibu wa Katiba."
Hoja hii inalenga kuhalalisha wale waliotumwa kutoa hoja ya kuhalalisha Samia awe mgombea u-Rais bila kupitia mchakato wa ndani ya chama.
Hata hili Msando hakujiuliza ni kwa nini licha ya katiba ya nchi kutoa uhuru wa maoni usio na mipaka, lakini sheria ya nchi imedhibiti uhuru huo?
Sisi ndani ya chama chetu pia tuna katiba, kanuni na taratibu pia, kilichofanyika ktk mkutano ule ni udikteta wa kukanyaga misingi ya chama chetu, na ndiyo maana wanachama ambao hawako tayari kuona ukiukwaji huo wamehoji uhalali na kutaka mchakato uanze mpya.

Haya nametokea si kwa bahati mbaya, ni kwa makusudi na ni matokeo ya unafiki na ukimya wa wanachama kuyakalia kimya maonezi wanaofanyiwa wanasiasa wengine nchini na ndani ya chama.
Tulipowaona wapinzani wakisurubiwa tulidhani na kuamini kuwa "Hao si wenzetu ktk chama".
Lakini yametugeukia ndani ya chama, wapo walioshtukia lakini wengi wa wanachama wamebaki kimya kutokana na sababu mbalimbali na moja ya sababu hizo ni unafiki.

Kuna mwanasiasa mmoja wa chama cha upinzani aliwahi kusema, "mkitumaliza kutushughulikia sisi wapinzani, mtarudi kushughulikiana wenyewe" na hamtakuwa na wa kuwatetea.
Mama alipoanza kuwashughulikia wale jamaa hatukujali kwani tuliwaona si wenzetu, kuwa ni wapinzani, lakini sasa anatufanyia wenyewe ndani ya chama na tumeanza kugawanyika, wachache wamejitokeza kupinga hilo.

Msando ameendelea kumuuliza Polepole kwamba, "Kwa maelezo yako kwa nyakati tofauti unatambua kwamba wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa walikutana na kufanya maamuzi. Na kikao hicho kina madaraka ya mwisho. Je kwa uzoefu wako kiungozi na kitaaluma ni utaratibu gani unapaswa kufanyika kutengua maamuzi ya kikao cha mwisho au kupinga madaraka ya kikao kikuu cha chama?"
Swali hili ameliuliza kama yupo kizimbani au Mahakamani, lakini jibu lake ni rahisi, kwanza kikao au mkutano ambao si halali ktk kuketi kwake, kikiketi na kufanya maamzi au maazimio ya kitaasisi au chama, chenyewe kinakuwa kimekiuka kanuni, taratibu au katiba na kwa hiyo automatic kimejifuta.
Kama ni kamati ya siasa inafutwa kwa kufanya uasi, kuanzia katibu chama, mwenyekiti na wajumbe wake wanakosa sifa, wanatutwa uongozi na kubaki wanachama wa kawaida tu.

Pili, vyama vya kisiasa kwa kiasi fulani vipo chini ya msajili wa vyama vya siasa, kama utaratibu ndani ya chama haujazingatiwa msajili ana mamlaka ya kutengua maamzi haramu ambayo yamekiuka misingi ya katiba na kanuni ya chama.
Kitendo cha msajili kuukalia kimya ukiukwaji uliofanywa na akina Samia ni udhaifu mkubwa sana na ni aibu kubwa, si kwake tu bali niabu kwa ofisi mbele ya umma.

Mwisho, Msando ameuliza swali hili kwa mtindo ule ule wa kimahakama wanavyouliza mawakili, kwamba "Kwa mwanachama ambaye maamuzi ya chama hayajampendeza au hakubaliani nayo akishasema mawazo yake kwa namna yoyote ile aliyoichagua hata kama ni nje ya vikao rasmi desturi na utamaduni wa CCM unaousisitiza unaelekeza nini?"

Kuna namna ya kikatiba na kanuni ya kulalamikia jambo lililokosewa ndani ya chama, moja ni kupinga ndani ya kikao, pili ni kuandika barua kwa mamla za juu kuomba au kupinga uamzi uliofanyika.
Changamoto iliyopo tangu muda mrefu ni kwamba ukiandika barua mara nyingi unamwachia PS, hawa maPS wengi wanamilikiwa na wanasiasa mafisadi ambapo PS hawezi kuipeleka barua kwa katibu wa chama kabla haijapitia kwanza kwa mwanasiasa huyo, na yeye ndiye wakusema "hii sawa iende kwa katibu lakini hii hapana usiipeleke."

Sasa umeshapeleka barua ofisini ukampa PS na haijafikishwa sehemu husika, unabaki unalaumu viongozi kuwa wamekupuuza barua yako kumbe haijawafikia.
Wakati mwingine inawafikia lakini tunafahamu viongozi wetu wasivyojali mambo ya msingi, wanachojali ni umbea, majungu na fitina, zaidi ni kulinda maslahi ya makundi ya wanasiasa.

Kwa hiyo, baada ya njia zilizoelekezwa ktk chama kuwa na changamoto kama hizi, njia inayobaki ni mwanachama au kiongozi aliyekerwa au kutokubaliana na maamzi fulani kuueleza umma wa wanachama ili waelewe kinachoendelea au kilichokosewa ndani ya chama chao.
Na hatua hii si lazima wanaolalamikiwa wachukue hatua za kulishughulikia, wanaweza kuyashughulikia malalamiko au kuyapuuza kama tu tunavyoona Mama na Nchimbi wake wamepuuzia maonyo, makatazo na mawazo ya wanachama na viongozi wa dini.
Kwa kuwa umma wa wanachama umeshaelewa makosa yaliyofanywa na waliojiteua bila kufuata utaratibu na misingi ya chama, kazi hiyo ya kutengua haramu inakuwa ni ya Mungu mwenyewe ambaye ni wa wanyonge.

Kwiyeya Singu. 0784977072
 
Back
Top Bottom