Vangiporini
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 328
- 319
Wakuu kwa mwenye nokia yenye hii feature naomba feedbak kama inabadili chochote wakati wa mazungumzo endapo itakuwa activated cuz kwny cm yang bado cjaona utendaj kaz wake
unatumia simu gani? inabidi useme kwanza.
kama ni feature ya hd calling kibongo bongo sahau maana mitandao yetu haisuport hata kama ipo kwenye simu.
ila kama ni simu yenye haac mic za nokia basi itatoa sauti nzuri iwe mtandao unasuport au hausuport maana hizi mic zinafungwa mbili moja juu na moja chini then zinadetect kelele na kuzipunguza. mfano upo sokoni, stendi au disco zile kelele hazitaskika kwa unaeongea nae. pia inatumika kurekodia sauti na kwenye uchukuaji video
me natumia nokia 5130xpress music mkuu