EWGM's
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 1,521
- 2,109
Kinachozungumziwa hapa ni wafanyakazi wa walio kwenye payroll ya vodacom si ero link jamani?mbn wagumu kuelewa kwani wanaotoa hizo tuzo hawakuona?
Ndugu yangu kama kitu hukijui si vizuri kukisemea juujuu namna hiyo haipendezi. Pili nikuulize hao Erolink wanatoa pesa mifukoni mwao kuwalipa wafanyakazi wao ili waifanyie kazi Vodafone bure? Kama wewe ni mteja wa Vodafone na hukupata customer service nzuri pale ulipohitaji huduma hiyo, utalalamika kwa nani, Erolink au Vodafone? Kama ukipata majibu ya hayo niliyokuuliza thena utajua nini ninachongea. Ahsante.