Vodacom yapata tuzo ya mwajiri bora wa mwaka 2013

NIGGA

JF-Expert Member
Jan 23, 2013
1,245
1,250
Habari Wakuu
To be honest nimeshtushwa kidogo na hizi taarifa, Nikiichunguza vodacom in and out napata shida huwa wanaangalia creteria zipi hawa ATE mpaka kuipa kampuni tuzo ya employer of the year,maana ukiangalia vodacom staff wa Customer Care pale Mlimani city wanavyolipwa vilaki viwili,Njaa,stress au kuna siasa hapa.
Nawakilisha.
source. Vodacom yaibuka mwajiri bora mwaka 2013 Bongo5
 
MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,350
2,000
Mfanyakazi gani wa vodacom anaelipwa laki 2,, acheni majungu wadau..

Msiongelee wafanyakazi wa subcontractor wa vodacom kama erolink, nsn etc mkasema nao ni vodacom..

Maana watanzania mtu kisa anaingia kwenye jengo la vodacom anajifanya staff wa vodacom kumbe vikampuni vyenye contract na vodacom..

Hakuna Mfanyakazi aliye na mkataba wa vodacom kama mwajiri wake anaelipwa mshahara mdogo kiasi hicho
 
NIGGA

JF-Expert Member
Jan 23, 2013
1,245
1,250
kampuni ya mafisadi hiyo lazima waisafishe ili isimulikwe!!!

Kuna makampuni wanajali sana rasrimali watu, vodacom hell no,coz nawafahamu watu wengi wameajiliwa na hawa vodacom
they speak negative,imagine mtu na bachelor yake unalipwa 270k
 
Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
21,759

We unazungumzia VODACOM au subcon wa VODA?

NIGGA

JF-Expert Member
Jan 23, 2013
1,245
1,250
Mfanyakazi gani wa vodacom anaelipwa laki 2,, acheni majungu wadau..

Msiongelee wafanyakazi wa subcontractor wa vodacom kama erolink, nsn etc mkasema nao ni vodacom..

Maana watanzania mtu kisa anaingia kwenye jengo la vodacom anajifanya staff wa vodacom kumbe vikampuni vyenye contract na vodacom..

Hakuna Mfanyakazi aliye na mkataba wa vodacom kama mwajiri wake anaelipwa mshahara mdogo kiasi hicho

Mwajiri bora ni yule anaejali maslahi ya wafanyakazi wote irrespective of subcontractor or direct employed...good example
ni wale outsourced staff wa erolink waliokuwa wanafanya vodacom,unafikiri watasema ni erolink au vodacom wana wa under pay??its so direct watasema vodacom,cause they are working on vodacom,na ina reputational damage kubwa sana more than you think
 
SMU

JF-Expert Member
Feb 14, 2008
9,065
2,000
Ni vigezo gani vimetumika kumpata mshindi? Utaratibu upoje? Bila kujua hayo mawili, inaweza kuwea vigumu kuto "hukumu" ya haki katika hili.
 
NIGGA

JF-Expert Member
Jan 23, 2013
1,245
1,250
We unazungumzia VODACOM au subcon wa VODA?

Can you tell me why vodacom waliamua ku opt SUBCON badala ya kuemploy wao wenyewe??
Vodacom wangekuwa smart enough wasingekubali kuwa subcon companies wanao under pay staff kiasi hicho, wange review contract zao before kupewa hizo kazi, Maana anakuwa affected na utendaji kazi wa employee ni vodacom and not subcon
 
mwananyiha

JF-Expert Member
Mar 11, 2008
248
225
Mi nadhani wameangalia namba ya waajiliwa ki upana zaidi kama wale walioajiliwa moja kwa moja na wale walio ajiliwa kwa njia ya kuuza mazao ya voda kama vocha, m-pesa n.k.
 
EWGM's

JF-Expert Member
Jul 22, 2013
1,521
2,000
Mfanyakazi gani wa vodacom anaelipwa laki 2,, acheni majungu wadau..

Msiongelee wafanyakazi wa subcontractor wa vodacom kama erolink, nsn etc mkasema nao ni vodacom..

Maana watanzania mtu kisa anaingia kwenye jengo la vodacom anajifanya staff wa vodacom kumbe vikampuni vyenye contract na vodacom..

Hakuna Mfanyakazi aliye na mkataba wa vodacom kama mwajiri wake anaelipwa mshahara mdogo kiasi hicho

Kwa maelezo yako unakubali kuwa wapo wafanyakazi wa Vodafone wanaolipwa mshahara mdogo. Wawe na mkataba au la! hata subcontractor workers wanamikataba na wanafanya kazi za Vodafone. kama Vodafone wame-outsource some of its service then wanajukumu la kutete maslahi ya wafanyakazi wa hiczo kampuni walizozipa hizo tenda full stop. Kibiasahara hawa ni stakeholders wao tena wakaribu sana na kama Vodafone inajua hilo kwa nini wanaacha watu wanakuwa exploited.

Huyu aliyesema hayo maneno yuko sawa kabisa ila wewe unataka kupotosha kitu ambacho unashindwa kukipinga kwa hoja.
 
EWGM's

JF-Expert Member
Jul 22, 2013
1,521
2,000
We unazungumzia VODACOM au subcon wa VODA?

Kwa maana hiyo unajua kinachoendelea na nikuulize swala kwahiyo wewe uko happy kabisa kuona your fellow worker anakuwa exploited sababu yeye hana direct contract na kampuni au ana mkataba tofauti na wewe?
 
Ben Mugashe

Verified Member
Oct 9, 2008
998
1,000
Customer Care anafanya kazi 10hrs monday to Sunday, sometimes night shift then analipwa laki 2-3 kwa mwezi, then huyu ni mwajiri bora? Hata kama wamemsub contract lazima hiyo kampuni ijue uti wa mgogo wa Service Provider ni "SUPPORT" department (customer care) so lazima wampe mwajiri/ contractor aina gani wa wafanyakazi wanataka na wawe na Elimu gani na wawape Kima cha chini cha mshahara ili waweze kuwahudumia wateja wao vizuri..Mimi nikiwa huku mtaani sijui kama CC sio mwajiriwa, akinijibu vibaya kesho nahamia Airtel...
 
NIGGA

JF-Expert Member
Jan 23, 2013
1,245
1,250
Kwa maelezo yako unakubali kuwa wapo wafanyakazi wa Vodafone wanaolipwa mshahara mdogo. Wawe na mkataba au la! hata subcontractor workers wanamikataba na wanafanya kazi za Vodafone. kama Vodafone wame-outsource some of its service then wanajukumu la kutete maslahi ya wafanyakazi wa hiczo kampuni walizozipa hizo tenda full stop. Kibiasahara hawa ni stakeholders wao tena wakaribu sana na kama Vodafone inajua hilo kwa nini wanaacha watu wanakuwa exploited.

Huyu aliyesema hayo maneno yuko sawa kabisa ila wewe unataka kupotosha kitu ambacho unashindwa kukipinga kwa hoja.

Umeongea ukweli mtupu,hii nchi kila kitu watu wanakifanya kisiasa
 
Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
21,759
2,000
Can you tell me why vodacom waliamua ku opt SUBCON badala ya kuemploy wao wenyewe??
Vodacom wangekuwa smart enough wasingekubali kuwa subcon companies wanao under pay staff kiasi hicho, wange review contract zao before kupewa hizo kazi, Maana anakuwa affected na utendaji kazi wa employee ni vodacom and not subcon
Outsourcing ndo habari ya mujini... Cheki Airtel wameautisosi, checki Tigo wameautisosi, hata wewe kwenu jikoni mmeautisosi kwa housegirl
 
Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
21,759
2,000
Kwa maana hiyo unajua kinachoendelea na nikuulize swala kwahiyo wewe uko happy kabisa kuona your fellow worker anakuwa exploited sababu yeye hana direct contract na kampuni au ana mkataba tofauti na wewe?
You are missing the point mkuu....
Vodacom ni mwajili bora kwa wafanyakazi wake, na namna anavyomlipa subcon. Na si kwa wafanyakazi wa subcon

Chimunguru

JF-Expert Member
May 3, 2009
10,587
2,000
Kuna makampuni wanajali sana rasrimali watu, vodacom hell no,coz nawafahamu watu wengi wameajiliwa na hawa vodacom
they speak negative,imagine mtu na bachelor yake unalipwa 270k
Huyo hajaaliwa vodacom, huo mshahara hata customer care wa vodacom wakati kitengo kipo chini ya vodacom mwaka 2002 hakulipwa kidogo namna hiyo. Fanya utafiti kwanza kiongozi, call center ipo chini ya kampuni nyingine kabisa Ero Link
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom