Mtazamo: Magdalena Sakaya ni mbunge anayestahili tuzo ya mbunge bora wa mwaka

said kikaa

Senior Member
Aug 7, 2012
108
23
habarini wanajamii, kama katika kila mwaka wa bajeti kungekua na utolewaji wa tuzo za mbunge bora,mwanamama magdalena (cuf) angestaili kupata moja ya tuzo hizo.

nimefuatilia sana michango yake.. ni mama anayetetea maslahi ya wananchi kwa dhati kubwa na kuikosoa,kuisimamia serikali ipasavyo pasipo kutumia lugha za chuki,au kuzozana na kiti. cio mama wa miongozo na utaratibu, akipewa muda atautumia vyema kuelezea mambo ya msingi. hakika ni mama hodari.

nini mtazamo wako au mbunge yupi angefaa kama tuzo za 2012/2013
zingetolewa.
 
Kweli kabisa mama sio wa kuunga hoja mia kwa mia
 
kwa sifa ulizo zitaja nadhani yuko chama asichostahili kuwa, ana sifa kama za wabunge wa CHADEMA

Lissu na Mnyika wanastahili tuzo ya kuomba miongozo ya kijinga kwaajili ya kuanzisha vurugu.
 
Acha ubwege,hapa tuna mzungumzi magdalena sakaya,sio lisu wala mnyika,mama kaza ukibugi tunakuchana tu nyambafu, na huyo prof kuwa nae care,mana hajui hata anachokifanya,eti walimsaidie kikwete tena anaongelea Masjid! Bure kabisa,ccm makanisani yeye analevel misikitini! Haya sasa bakwata wametofautiana na Sheikh Ponda. Sheik Ponda sku hizi hawangoi kucha tena,unatupwa kwenye kisima cha maji,vipi pande zako kipo? wananchi wasije kunywa maji ya maiti Sheikh
 
Hivi akipambanishwa na Mlugo nani ataibuka kidedea kwa ukilaza? hahahaaaa 'my daily bread!...mwenye ile clip naomba atupie hapa tuondoe stress.
 
kwa sifa ulizo zitaja nadhani yuko chama asichostahili kuwa, ana sifa kama za wabunge wa CHADEMA

Sakaya is good as well as Susan Kiwanga, Rose Kamili &Esta Bulaya. Ongeza wa kwako.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Lissu na Mnyika wanastahili tuzo ya kuomba miongozo ya kijinga kwaajili ya kuanzisha vurugu.

Aulizaye siyo mjinga bali anatafuta kujua. Wewe unayeona wanauliza miongozo ya kijinga ndo una matatizo.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hivi akipambanishwa na Mlugo nani ataibuka kidedea kwa ukilaza? hahahaaaa 'my daily bread!...mwenye ile clip naomba atupie hapa tuondoe stress.

Naona utakua umechanganya wausika..kwa kuweka sawa ninukuu part ya utambulisho wa mbunge alosema hayo..nanukuu: ''am Rose mwarusamba from cuf mbeya'' mwisho wa kunukuu.. hope umenisoma
 
habarini wanajamii, kama katika kila mwaka wa bajeti kungekua na utolewaji wa tuzo za mbunge bora,mwanamama magdalena (cuf) angestaili kupata moja ya tuzo hizo.

nimefuatilia sana michango yake.. ni mama anayetetea maslahi ya wananchi kwa dhati kubwa na kuikosoa,kuisimamia serikali ipasavyo pasipo kutumia lugha za chuki,au kuzozana na kiti. cio mama wa miongozo na utaratibu, akipewa muda atautumia vyema kuelezea mambo ya msingi. hakika ni mama hodari.

nini mtazamo wako au mbunge yupi angefaa kama tuzo za 2012/2013
zingetolewa.

Huyu mdada amekomaaa kisiasa.
 
Naona utakua umechanganya wausika..kwa kuweka sawa ninukuu part ya utambulisho wa mbunge alosema hayo..nanukuu: ''am Rose mwarusamba from cuf mbeya'' mwisho wa kunukuu.. hope umenisoma

wewe na mwenzako akili sawa, no comment.
 
habarini wanajamii, kama katika kila mwaka wa bajeti kungekua na utolewaji wa tuzo za mbunge bora,mwanamama magdalena (cuf) angestaili kupata moja ya tuzo hizo.

nimefuatilia sana michango yake.. ni mama anayetetea maslahi ya wananchi kwa dhati kubwa na kuikosoa,kuisimamia serikali ipasavyo pasipo kutumia lugha za chuki,au kuzozana na kiti. cio mama wa miongozo na utaratibu, akipewa muda atautumia vyema kuelezea mambo ya msingi. hakika ni mama hodari.

nini mtazamo wako au mbunge yupi angefaa kama tuzo za 2012/2013
zingetolewa.

Kuna thread fulani hivi huko nyuma nilishawahi kusema Tabora na wilaya zake zote tuna Mbunge mmoja tu ambaye ni Mh Magdalena Sakaya. Ninapenda kuwaomba wanyamwezi wenzangu wa urambo mwaka 2015 mumpe huyu mama ridhaa ya kuwa mbunge kamili (Jimbo) ili kuleta maendeleo ya kweli mkoani kwetu. Ni miongoni mwa wabunge makini sana na kwa wabunge wanawake nampa namba moja.
 
Back
Top Bottom