Vodacom yapata tuzo ya mwajiri bora wa mwaka 2013

Kinachozungumziwa hapa ni wafanyakazi wa walio kwenye payroll ya vodacom si ero link jamani?mbn wagumu kuelewa kwani wanaotoa hizo tuzo hawakuona?


Ndugu yangu kama kitu hukijui si vizuri kukisemea juujuu namna hiyo haipendezi. Pili nikuulize hao Erolink wanatoa pesa mifukoni mwao kuwalipa wafanyakazi wao ili waifanyie kazi Vodafone bure? Kama wewe ni mteja wa Vodafone na hukupata customer service nzuri pale ulipohitaji huduma hiyo, utalalamika kwa nani, Erolink au Vodafone? Kama ukipata majibu ya hayo niliyokuuliza thena utajua nini ninachongea. Ahsante.
 
mkuu cement mbona Una roho mbaya ivo yaan unawatetea hao voda kwa kuwalipa wafanakaz wso liki mbili hlf unasisitiza et walistahil hiyo tuzo ....acha ubinsfsi hen jiweke kwny same position ya kuliowa laki mbili kwa mwez kwa maisha hya ya dar

Hao vodacom hawakustahili hiyo tuzo kwa mfano watu wa customer care japo kuwa hawajaajiliwa na vodacom wanalipwa laki mbili pia kazi yenyewe ni ngumu watu wanaongea na wateja wao mtu mmoja anapokea simu 200 kwa siku moja. Wangekuwa wanawajari hata kuwapa bonus mbalimbali hata kuwa motivate coz wanatoa huduma ya customer wao. Inshort kazi ya call centre ni ngumu kuliko kazi zote duniani
 
Last edited by a moderator:
Kwaujumla wachangiaji wengine wanachangia ili topic isithaminike...... Kwamtu yeyote aelewaye lazima kajiuliza juu ya uhalali wa tuzo ya best employer... Toka niijue vodacom sijawai hata kudhan kama inaweza kuhesabika hata katika best50 employers. Wengine wansema eti customer care sio voda ni ero link, hivi siku uki dial 100 ukatukanwa na customer care utawalaumu ero link?????
 
Kwaujumla wachangiaji wengine wanachangia ili topic isithaminike...... Kwamtu yeyote aelewaye lazima kajiuliza juu ya uhalali wa tuzo ya best employer... Toka niijue vodacom sijawai hata kudhan kama inaweza kuhesabika hata katika best50 employers. Wengine wansema eti customer care sio voda ni ero link, hivi siku uki dial 100 ukatukanwa na customer care utawalaumu ero link?????

Ni kweli kabisa Ndugu yangu! kuna vitu huwa vinanihuzunisha sana pale mtu anapoweka tumbo lake mbele na kusahau haki za Mtanzania mwenzako. Sikujua kuwa kuna watu wako selfish namna hii.

Hawa watu wa customer care wanahitaji support sababu labda hawajui wapi pa kupata haki zao. Haiwezekani watu waje ku-invest nchini mwetu halafu wa-exploit watu wetu na sijui kama hata kodi wanalipa haya makampuni?

Kikubwa hapa ni Vodafone ku-support exploitation ni nahakika Vodafone wana supplier policy. Nitakuwa namcha Mungu kwa unafiki kama nikikaa bure na kuona Mtanzania mwenzangu anateseka nitafanya kadri ya uwezo wangu kuhakikisha Vodafone wanafanya something kuhusu hili.

Kuna minimum wages iliyotengwa na serikali lakini pia kuna living wages sasa hii laki mbili mtu anaishi vipi jamani kwenye jiji kama la Dar-es-salaam? Inatia uchungu sana
 
Mwajiri bora ni yule anaejali maslahi ya wafanyakazi wote irrespective of subcontractor or direct employed...good example
ni wale outsourced staff wa erolink waliokuwa wanafanya vodacom,unafikiri watasema ni erolink au vodacom wana wa under pay??its so direct watasema vodacom,cause they are working on vodacom,na ina reputational damage kubwa sana more than you think

Well said
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom