snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,523
- 2,164
- Thread starter
- #21
Hatimaye leo wamerudisha kifurushi cha awali, kupiga mitandao yote. Hakuna tena cjui Sek 50/Sek45 kwenda mitandao mingine.
.
Wamezidiwa dakika 1 na airtel
.
Wao wanatoa 12 kwa tsh 499
.
Airtel wanatoa dakika 13
.
Vodacom wapo sawa na airtel wote wanatoa sms 300 kwa 499
.
Kwenye bundle wapo sawa wote wanatoa 125MB kwa Tsh 499
.
Hongera vodacom
.
