vodacom yametimia AIrtel abaki kuwa BABA LAO

vodacom yametimia AIrtel abaki kuwa BABA LAO

snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
4,523
Reaction score
2,164
By C++:
Eti viongozi
.
Vodacom cheka bombastik
*149*01#
.
Dakika 40 SmS 250 na 100MB
.
Kwa tsh 500
.
Alafu Airtel *149*99#
.
Dakika 40, SmS 1000, na 300MB
.
Kwa tsh 999
.
Sasa nani BaBa Lao???
.
WAkati sizani kama kuna mtu
anaeweza kumaliza sms 1000 kwa
siku moja????
.
Au kuna addicted kama hawa?????
.
.
.
Viongozi
.
Huwezi kuamini
.
Vodacom walikuwa wan tishia hali ya hewa.......
.
Hatimae dakika 20 zarudi kama kawaida
.
AIRTEL BABA LAO I APPRECIATE
.
 
Viongozi
.
Huwezi kuamini
.
Vodacom walikuwa wan tishia hali ya hewa.......
.
Hatimae dakika 20 zarudi kama kawaida
.
AIRTEL BABA LAO I APPRECIATE
.

Vipi net yao iko stable kwel hawa airtel?
 
Viongozi
.
Huwezi kuamini
.
Vodacom walikuwa wan tishia hali ya hewa.......
.
Hatimae dakika 20 zarudi kama kawaida
.
AIRTEL BABA LAO I APPRECIATE
.

Hao Voda wamerudisha hzo dk 20 kwenda mitandao yote, au voda-voda na sek 45 kwenda mitandao yote???
 
Voda will be da best kwenye internet signal..ni kubwa kuliko airtel wala tigo wala zantel..bt depends with location upo!!!
 
Hao Voda wamerudisha hzo dk 20 kwenda mitandao yote, au voda-voda na sek 45 kwenda mitandao yote???

.
20 minutes vodacom to vodacom
50seconds to other networks
.
 
Waenga wanasema ukiona unasoma kitabu halafu haukielewi basi jua haukuandikiwa wewe.
 
Airtel ukitaka bando kwa *154*44# na kulipia 600. unapata MB 500 kwa siku. Mungu akupe nini!
 
Heheheee... Imenibidi nicheke aisee... Voda wana joke, au?

.
Voda na tigo wanatumia ubongo mmoja kuwa joke watu....
.
Airtel wana wacheka....
.
 
Hatimaye leo wamerudisha kifurushi cha awali, kupiga mitandao yote. Hakuna tena cjui Sek 50/Sek45 kwenda mitandao mingine.
 
Back
Top Bottom