Nimekufahamisha vizuri sana huko juu, tena kwa kukutolea mpaka mfano wa Serengeti na Kilimanjaro, lakini watu wengine si tunajuwa, shule mnabebwa na NECTA 83/17, hata uwe na PhD unakuwa huna uelewa.
Hakuna kitu chochote cha maana umetaja huko juu zombe unless huelewi nini kimeulizwa. Nimekuuliza very simple questions:
1. Rushwa ni nini
2. Promotion inaweza kuwa rushwa (ukajibu hapana); nikakuuliza kwanini - ukajibu rushwa ni rushwa na promotion ni promotion!!!
Sasa nitakuuliza tena, na ninakusuhi unipe majibu kama mtu aliyeenda shule.
1. Rushwa ni nini?
2. Ni kitu gani kinachozuia promotion kuwa rushwa? (jibu hili liwe katika context ya Vodacom na Blackberry kwa kamati ya bunge/spika)
Tafadhali toa majibu. Mambo ya serengeti na Kilimanjaro na 'targeted market ni majibu ya industial revolution era. Huwezi kusema 'rushwa ni rushwa na promotion ni promotion' na ukakaa chini ukiamini umejibu swali!
Ni wakati gani poromosheni (I think unaamanisha promotion) inakuwa na elements za rushwa?
1. Rushwa ni rushwa.
2. Sasa ulitaka nikujibu nini na huo ndio ukweli, au unataka nidanganye na nijidanganye? unaweza kupitia kamusi na dictionary ukapata maana hiizo, kama utakuta maana mbadala, zilete hapa.
Nimekuuliza huko juu kwanini ufikirie kuwa kamati ya miundo mbinu ihongwe na vodacom? ili iweje? huwezi kukurupuka hiyo ni rushwa kama huwezi kusema ni rushwa kwa ajili gani au ili iweje? huna!
Nimeeleza huko juu kuwa hata mimi napewa simu moja kila mwaka na huu ni mwaka wa tatu wananibadilishia BB, ya kwanza 9600, ya pili 9700, ya tatu 9900 zote hizo BOLD kabla ya hapo walishanipa Samsumg (miaka minne iliyopita) na si mimi pekee, ofisini kwangu nna wasaidizi wangu wanne na wote wanapewa BB, jumla tunaletewa BB tano kila mwaka. Mimi sipo kwenye kamati ya miundo mbinu wala bungeni wala Serikalini, ni mkulima tu wa kawaida na biashara zingine ni "consultant" Jee, na mimi wananipa rushwa? ili iweje?
Nna uhakika wananipa hizo simu ili nisiwahame kwani ni mteja wao mzuri sana, kazi zangu zote na wasaidizi wangu, tunatumia simu sana za nje na ndani ya Tanzania.
Hao voda wanafanya kitu inaitwa "directional promotion" sina uhakika kama unazijuwa hizi "terminology" za Sales and Marketing, zipo "a bit advanced" kwako, kwa maneno haya tu "targeted marketing" na "directional promotion" kwa muelewa wa hizo "terminology" angekwisha nielewa.
Pole kama huna uelewa wa hizo "terminology", inabidi wewe sasa ueleze kwanini vida kugawa simu za mkononi (ambayo ni biashara yao) iwe rushwa?
Kwa kuongezea tu, mbona kabla Bunge halijaanza Mkurugenzi wa Voda, aliita "press confrnc" na kutoa takwimu za contribution ya Voda katika kodi. Alijumlisha mpaka pesa za mwaka huu ambazo bado hajalipa nahesabu ikagonga Tsh bil. 700 ! Taarifa ilikuwa "uniform" (inawezekana na wahariri walilamba "BB") kwa magazeti yote, na hakuna maswali na maji ! Ukigawa kwa miaka 12 ya huduma yao, utaona jinsi wasivyolipa kodi. Kama idadi ya wateja inazidi wote, iweje Airtel wawe ndani ya 15 bora ya TRA LAKINI WAO HAWAMO ? Haya ni sawa na Marudio ya akina Jairo kufanya kampeni ya makusudi wizara husika bajeti yake ipite (funika kombe.....................!)Zomba hii Directional Promotion unayosema ni sawa lakini inawalengaje wabunge tu? Tena katika kipindi ambacho wananchi wanalalamikia unyonyaji, uhafifu wa huduma na kodi kiduchu kutoka kwenye makampuni haya? Naona unachanganya Promotion na Corruption si sahihi.Kuna tofauti kubwa kati ya rushwa na promotion. Promotion are givings, take away or incentives ambazo zinatolewa kwa wateja ili kuwashawishi kununua bidhaa za kampuni yako.Ni mkakati wa kimasoko.
Rushwa ni givings (Si incentives) zinazotolewa ili kupindisha haki/ukweli wa jambo. Kwa hili (kama ni kweli) Vodacom wamelenga kuwazima midomo Wabunge katika mjadala wa kuyakaba makampuni haya kulipa kodi zaidi kwa Serikali.Na wabunge wetu wasivtyo wazalendo wamedaka blackberry hizo wamekaa kimya.Ni hisani ili wasipigie kelele suala la kodi kutoka kwenye makampuni haya ya kibeberu.
Kuna tofauti kubwa kati ya rushwa na promotion. Promotion are givings, take away or incentives ambazo zinatolewa kwa wateja ili kuwashawishi kununua bidhaa za kampuni yako.Ni mkakati wa kimasoko.
Rushwa ni givings (Si incentives) zinazotolewa ili kupindisha haki/ukweli wa jambo. Kwa hili (kama ni kweli) Vodacom wamelenga kuwazima midomo Wabunge katika mjadala wa kuyakaba makampuni haya kulipa kodi zaidi kwa Serikali.Na wabunge wetu wasivtyo wazalendo wamedaka blackberry hizo wamekaa kimya.Ni hisani ili wasipigie kelele suala la kodi kutoka kwenye makampuni haya ya kibeberu.
Vodacom hata mimi wananipa simu mpya kila mwaka mwaka wa nne huu, kwa sasa ni BB ya tatu na kila wakinipa simu mpya wananipa na maongezi ya bure. Kwa kuwa ni mteja wao mzuri na hawataki nihame.
Dunia zingine sasa hivi simu ni bure bora utumie mtandao wao tu, kwa sasa hapa kwetu zinakwenda kwa "targeted market" lakini itafika huko kwa bure kwa wote ushindani ukizidi. Biashara ni matangazo, ujuwe hizo zinatoka kwenye bajeti yao ya matangazo, hiyo inaitwa "directional promotion" na si hongo hilo.
Zomba hii Directional Promotion unayosema ni sawa lakini inawalengaje wabunge tu? Tena katika kipindi ambacho wananchi wanalalamikia unyonyaji, uhafifu wa huduma na kodi kiduchu kutoka kwenye makampuni haya? Naona unachanganya Promotion na Corruption si sahihi.Kuna tofauti kubwa kati ya rushwa na promotion. Promotion are givings, take away or incentives ambazo zinatolewa kwa wateja ili kuwashawishi kununua bidhaa za kampuni yako.Ni mkakati wa kimasoko.
Rushwa ni givings (Si incentives) zinazotolewa ili kupindisha haki/ukweli wa jambo. Kwa hili (kama ni kweli) Vodacom wamelenga kuwazima midomo Wabunge katika mjadala wa kuyakaba makampuni haya kulipa kodi zaidi kwa Serikali.Na wabunge wetu wasivtyo wazalendo wamedaka blackberry hizo wamekaa kimya.Ni hisani ili wasipigie kelele suala la kodi kutoka kwenye makampuni haya ya kibeberu.
Hiyo ndio niliyokwambia "targeted marketing", wakati una budget ya "promotion" ya kiasi fulani ambayo haitoshi kwa bunge zima, una prioritize target yako na unaifanya kuwa ni "directional promotion", na kuna vigezo vingi, kwa sasa wameona target nzuri ni hiyo.
Hiyo si rushwa hata kidogo. Hiyo ni pure promotion. Ni kama vile wauza Beer za Serengeti au Kilimanjaro wanapochaguwa bar fulani wakafanye promotion na kugawa vinywaji vya bure, kwanini hawagawi bar zote? Hiyo ni "directional promotion".
zomba
1. Nimekuuliza huko juu kwanini ufikirie kuwa kamati ya miundo mbinu ihongwe na vodacom? ili iweje? huwezi kukurupuka hiyo ni rushwa kama huwezi kusema ni rushwa kwa ajili gani au ili iweje? huna!
Niruhusu niseme hivi; uko very naive! Vodacom wana wateja zaidi ya 10 million. Airtel wana wateja nusu ya Vodocom. Kwenye list ya top 15 tax payers Vodacom hawapo lakini Airtel wenye wateja nusu ya Vodacom wapo! Kamati ya miundo mbinu ndiyo inasimamia telecom sector. But let me also tell you this, week chache zilizopota Naibu waziri wa Science & Technology January Makamba alisema ana reliable information toka TRCA kwamba makampuni ya simu yanadanganya kuhusu mapato yao na hivyo kukwepa kodi.
2. hata mimi napewa simu moja kila mwaka na huu ni mwaka wa tatu wananibadilishia BB, ya kwanza 9600, ya pili 9700, ya tatu 9900 zote hizo BOLD kabla ya hapo walishanipa Samsumg (miaka minne iliyopita) na si mimi pekee, ofisini kwangu nna wasaidizi wangu wanne na wote wanapewa BB, jumla tunaletewa BB tano kila mwaka. Mimi sipo kwenye kamati ya miundo mbinu wala bungeni wala Serikalini, ni mkulima tu wa kawaida na biashara zingine ni "consultant" Jee, na mimi wananipa rushwa?
Hawakupi rushwa, hiyo inaitwa 'reward for loyalty = loyaly scheme. Mtindo wa loyalty unatumia sana ili kusaidia 'repeat purchase'. Kumbuka gharama za kumpata mteja mpya mara nyingi huwa juu kuliko za ku-maintain. So loyalty scheme (if you like direct promotion) is one way of staying close to your customers.
3. Hao voda wanafanya kitu inaitwa "directional promotion" sina uhakika kama unazijuwa hizi "terminology" za Sales and Marketing, zipo "a bit advanced" kwako, kwa maneno haya tu "targeted marketing" na "directional promotion" kwa muelewa wa hizo "terminology" angekwisha nielewa.
I am not illiterate, nafahamu hizo terms perfectly na hakuna cha ajabu kabisa. Nilitaka unipe meaning yenye uhalisia badala ya hizi description za 1st year. Pamoja na kuunga-unga kwako kuna kitu umesahau, kinaitwa - lobbying!. Kamati ya miundo mbinu hawako bungeni kulima mboga mboga, they are there to make laws na kuhoji utendaji wa serikali pamoja na taasisi zake including those kwenye telecom sector.
Bado hamjaja na ushahidi wa kutosha kuaminisha kuwa hiyo ni rushwa. Ingekuwa vodacom au makampuni mengine ya simu hawafanyi promotion za namna hiyo hiyo kwa wengine hapo mngenishawishi nifikirie upya. Mpaka sasa hiyo ni "promotion" na hakuna zaidi.
zomba
1. Nimekuuliza huko juu kwanini ufikirie kuwa kamati ya miundo mbinu ihongwe na vodacom? ili iweje? huwezi kukurupuka hiyo ni rushwa kama huwezi kusema ni rushwa kwa ajili gani au ili iweje? huna!
Niruhusu niseme hivi; uko very naive! Vodacom wana wateja zaidi ya 10 million. Airtel wana wateja nusu ya Vodocom. Kwenye list ya top 15 tax payers Vodacom hawapo lakini Airtel wenye wateja nusu ya Vodacom wapo! Kamati ya miundo mbinu ndiyo inasimamia telecom sector. But let me also tell you this, week chache zilizopota Naibu waziri wa Science & Technology January Makamba alisema ana reliable information toka TRCA kwamba makampuni ya simu yanadanganya kuhusu mapato yao na hivyo kukwepa kodi.
2. hata mimi napewa simu moja kila mwaka na huu ni mwaka wa tatu wananibadilishia BB, ya kwanza 9600, ya pili 9700, ya tatu 9900 zote hizo BOLD kabla ya hapo walishanipa Samsumg (miaka minne iliyopita) na si mimi pekee, ofisini kwangu nna wasaidizi wangu wanne na wote wanapewa BB, jumla tunaletewa BB tano kila mwaka. Mimi sipo kwenye kamati ya miundo mbinu wala bungeni wala Serikalini, ni mkulima tu wa kawaida na biashara zingine ni "consultant" Jee, na mimi wananipa rushwa?
Hawakupi rushwa, hiyo inaitwa 'reward for loyalty = loyaly scheme. Mtindo wa loyalty unatumia sana ili kusaidia 'repeat purchase'. Kumbuka gharama za kumpata mteja mpya mara nyingi huwa juu kuliko za ku-maintain. So loyalty scheme (if you like direct promotion) is one way of staying close to your customers.
3. Hao voda wanafanya kitu inaitwa "directional promotion" sina uhakika kama unazijuwa hizi "terminology" za Sales and Marketing, zipo "a bit advanced" kwako, kwa maneno haya tu "targeted marketing" na "directional promotion" kwa muelewa wa hizo "terminology" angekwisha nielewa.
I am not illiterate, nafahamu hizo terms perfectly na hakuna cha ajabu kabisa. Nilitaka unipe meaning yenye uhalisia badala ya hizi description za 1st year. Pamoja na kuunga-unga kwako kuna kitu umesahau, kinaitwa - lobbying!. Kamati ya miundo mbinu hawako bungeni kulima mboga mboga, they are there to make laws na kuhoji utendaji wa serikali pamoja na taasisi zake including those kwenye telecom sector.
mbona miongoni mwao hao wabunge wameikataa hiyo Promotion !? Wao wana uelewa finyu wa hiyo promotion ?
Kuna waakati Msekwa alikuwa Board Chairman, hiyo pia ilikuwa rushwa ya kuzuiwa "wasiulizwe ulizwe"
mfano:
Kampuni ya Unilever (UK) ilianzisha kitengo cha lobbying, na wakaweka kabisa msomiati, wakimlipa mtu kwa lobbying wanaita lobbying fees. Baadae ikagundulika ni mbinu za rushwa na ikapigwa marufuku na serikali (ili kuwa kama ujanja wa ile issue ya takrimaa) Voda ni wakwepa kodi na watoa rushwa period !
Hata kweye promotion ya Serengeti zinapogaiwa bure, kama wewe si mnywaji wa Serengeti utazichukuwa unywe tu kwa kuwa ni "promotion"? hoja yako dhaifu.
1. Kama wanakwepa kodi kwa hiyo kama ti ya miundo mbinu ndio wanashirikiana nao? hujui kuwa kodi zinafatiliwa na TRA? hoja yako ni dhaifu.
2. Lobbying si kufanya "promotion" ya simu. Promotion za simu kugaiwa kwa idara za Serikali pia zipo wacha bunge, Polisi wameshapewa sana simu, magari, mapikipiki. Hospitali pia zimeshapewa simu, mashirika mengi sana ya nje na ya ndani yanapewa simu na makampuni ya simu. Hiyo yote ni promotion.
Bado hujaja na hoja ya kuwa hiyo ni rushwa naona unazunguka zunguka na ushahidi hauna. Kwani kamati ya miundo mbinu pekee ndio inatunga sheria za bunge? kama kuhonga si wangemhonga Makamba aliyoyasema hayo na wana access nae nzuri sana kupitia Dada'ke? mbona yeye ndiye aliyeyasema hayo, hoja yako haina mashiko.