Vodacom hata mimi wananipa simu mpya kila mwaka mwaka wa nne huu, kwa sasa ni BB ya tatu na kila wakinipa simu mpya wananipa na maongezi ya bure. Kwa kuwa ni mteja wao mzuri na hawataki nihame.
Dunia zingine sasa hivi simu ni bure bora utumie mtandao wao tu, kwa sasa hapa kwetu zinakwenda kwa "targeted market" lakini itafika huko kwa bure kwa wote ushindani ukizidi. Biashara ni matangazo, ujuwe hizo zinatoka kwenye bajeti yao ya matangazo, hiyo inaitwa "directional promotion" na si hongo hilo.
zomba cursed!
zombe kwa ku-justify upo juu,,,,,,
Katika hatua ambayo imeibua mjadala mzito katika kipindi hiki cha Bunge la Bajeti, Kampuni ya Simu za mkononi ya Vodacom imemwaga Blackberry kila moja ikiwa na thamani ya Shilingi laki 7 na muda wa maongezi wa Shilingi 100, 000 ka wabunge 23 wa kamati ya Miundombinu akiwemo Spika wa Bunge Anna Simamba Makinda.
Baadhi ya Wabunge wameripotiwa kukataa simu hizo huku Mwenyekiti wa Kamati hiyo Peter Serukamba na Spika Anna Makinda wakidaka ofa hiyo kiulaini.
Source; Gazeti la MWANAHABARI la leo
My Take:
Si kwamba huu ni mkakati wa Vpdacom kuzima kelele za Wabunge ambao wamekuwa wakidai kuwa makampuni ya simu yamekuwa yakiwakamua wananchi vya kutosha na yamekuwa yakilipa kodi kiduchu?

Basically Hawa Voda through M pesa Wamepora Kabisa Kazi za mabenk ambao wengi ni walipa Kodi!! Mbaya zaidi hawa mabwana Hawalipi Kabisa Kodi Kwenye Hiyo Biashara!! Hawa Watunga Budget wamekaa tu hawaoni hata Hiyo ni big source ya Mapato / Kodi!! Tangu lini mlipakodi halali anakwenda Bungeni Kuwapooza Wabunge?? Hapa Ujue Kuna Wizi mkubwa sana!! Mbona sijawaona Airtel wala TBL Wakijipendekeza Bungeni ili hali ni walipakodi Wakubwa!! Shame on this people!! Wanatoa Vinawati Hamsini na kukwepa kodi ya Mabilioni!!
Mbona hatupewi sisi watu wa kawaida na ni wateja wao wa muda mrefu??Vodacom hata mimi wananipa simu mpya kila mwaka mwaka wa nne huu, kwa sasa ni BB ya tatu na kila wakinipa simu mpya wananipa na maongezi ya bure. Kwa kuwa ni mteja wao mzuri na hawataki nihame.
Dunia zingine sasa hivi simu ni bure bora utumie mtandao wao tu, kwa sasa hapa kwetu zinakwenda kwa "targeted market" lakini itafika huko kwa bure kwa wote ushindani ukizidi. Biashara ni matangazo, ujuwe hizo zinatoka kwenye bajeti yao ya matangazo, hiyo inaitwa "directional promotion" na si hongo hilo.
Mbona hatupewi sisi watu wa kawaida na ni wateja wao wa muda mrefu??
Inabidi ujiunge na "post paid" services, mbona ni wengi tu wanaopata hizo.
Hapana si kweli.
Transaction zote za wakala wa Mpesa zinapitia bank. Hao wamewapatia bank kazi nzuri sana na wateja wapya wengi sana.