Tunakaribia Siku ya 4 hatuna huduma nzuri ya Intaneti na cha ajabu ni kwamba hadi leo Watoa Huduma wanatoa taarifa tu badala ya kuzungumzia kutulipa fidia ya hasara waliyotusababishia pamoja na usumbufu tunaopata kwa kukosa huduma kwa mujibu wa makubaliano kati ya Mtoa Huduma na Mteja
Pia, nashangaa hadi leo TCRA wako kimya badala ya kuagiza Watoa Huduma kuanza mchakato wa kuwacompensate wateja wakati Sheria za Huduma ziko wazi kabisa kwamba ikitokea Mtoa huduma ameshindwa kutoa huduma kwa siku mbili anatakiwa kulipa Fidia ya Fedha au kulipa huduma iliyokosekana kwa muda wote tena kwa kiwango bora.
Mimi nawakumbusha tu ndugu zangu tusikae kimya kwenye hili. Hii ni haki ya msingi kabisa ya Binadamu inakiukwa na tunaweza kuwashtaki Watoa Huduma. Haijalishi wamepata shida gani hilo sio shida zetu kujua kwasababu mwisho wa siku huduma hatupewi bure tunailipia.
Kama unataka kujua zaidi kuhusu unavyoweza kudai haki zako soma hapa chini
Here are some customer rights for internet services when there is no internet connection:
Compensation
If your service doesn't start on the agreed date or an engineer appointment is missed, your provider will automatically pay compensation. If your service stops working and isn't fixed within two working days, you'll automatically receive compensation.
Compensation is usually a bill credit, but your provider may offer something of equal or greater value.
Contract cancellation
If your provider can't fix a problem, you can cancel your contract without paying a fee and switch to a new provider.
Payment reduction
If your internet connection doesn't meet the performance agreed to in your contract, you can reduce your monthly payment or terminate your contract.
Complaints
If you've contacted your internet service provider (ISP) and can't get a resolution, you can file a complaint with the FCC or TCRA.