Vodacom wasafi beach part

isho_boy

JF-Expert Member
Sep 22, 2015
2,145
1,887
Habari ya mujini sasa iv ni wasafi beach part so mjichange change washikaji ili siku ikifika bata alike kwa mwendo kasi

Screenshot_2016-12-09-09-51-44.png
 
wale wasanii wa suprise waandae show zao sasa

maana kama kuna timu ujanja ujanja timu ujinga ujinga lazima iwepo ila jangwani ni ndogo sana
 
Kila nyimbo wakitoa boko hafu wanajiita wanafanya mziki mzuri
 
Pigo la kwanza kwa clouds,kwani madent wengi wameamua kumek hela zao ili wakamuone mond na vijana wake c unajua tena fiesta Zote hazikuwahusu wasafi kiviiile scool bash itaangukia pua tiii.
 
Weka akiba ya maneno hizi starehe zipo tu
 
Pigo la kwanza kwa clouds,kwani madent wengi wameamua kumek hela zao ili wakamuone mond na vijana wake c unajua tena fiesta Zote hazikuwahusu wasafi kiviiile scool bash itaangukia pua tiii.
Hazikuwahusu kwa vile Fiesta ilidhaminiwa na tiGo, na MOND yupo na VODA.... ni suala la kimikataba tu
 
Back
Top Bottom