Angalia vizur kwny iyo picha apo juuLitafanyikia wapi , hebu elezea mkulu
Kila nyimbo wakitoa boko hafu wanajiita wanafanya mziki mzuriwale wasanii wa suprise waandae show zao sasa
maana kama kuna timu ujanja ujanja timu ujinga ujinga lazima iwepo ila jangwani ni ndogo sana
Wakimpata Darassa tu wamemalizaPigo la kwanza kwa clouds,kwani madent wengi wameamua kumek hela zao ili wakamuone mond na vijana wake c unajua tena fiesta Zote hazikuwahusu wasafi kiviiile scool bash itaangukia pua tiii.
Mkuu Ila hata wasipo mpata timu ya diamond inajua kuzichanga karata zake.Wakimpata Darassa tu wamemaliza
Povu linakububujika haswaawale wasanii wa suprise waandae show zao sasa
maana kama kuna timu ujanja ujanja timu ujinga ujinga lazima iwepo ila jangwani ni ndogo sana
Mkuu mbona jazba?Kila nyimbo wakitoa boko hafu wanajiita wanafanya mziki mzuri
Weka akiba ya maneno hizi starehe zipo tuPigo la kwanza kwa clouds,kwani madent wengi wameamua kumek hela zao ili wakamuone mond na vijana wake c unajua tena fiesta Zote hazikuwahusu wasafi kiviiile scool bash itaangukia pua tiii.
Hazikuwahusu kwa vile Fiesta ilidhaminiwa na tiGo, na MOND yupo na VODA.... ni suala la kimikataba tuPigo la kwanza kwa clouds,kwani madent wengi wameamua kumek hela zao ili wakamuone mond na vijana wake c unajua tena fiesta Zote hazikuwahusu wasafi kiviiile scool bash itaangukia pua tiii.