Vodacom wamezidisha wizi

Vodacom wamezidisha wizi

Easymutant

R I P
Joined
Jun 3, 2010
Posts
2,564
Reaction score
1,135
Kwa mfululizo wa takribani wiki kama mbili Vodacom imetulazimisha watumiaje wake/wasio wake kutumia huduma yao ya voice mail ambapo ukimpigia mtu simu ikiita bila kupokelewa automatically voice mail inakuwa activated na unapokata unaambiwa tayari umetumia either 23.2 Tshs (inategemea na umechelewa kukata kwa muda gani) hii haijalishi either ni mteja wa vodacom ama si mteja wa vodacom, Mfano kwa watumiaji wa Airtel ukimpigia mtu wa Vodacom baada ya mawasiliano tu airtel inakupa kimessage kuwa umetumia kiasi gani,

Huu ni wizi wa kulazimishana kulipia huduma ambayo mteja hajaiomba na kwa style hii wanavuna pesa nyingi sana kulingana na wateja walionao,
 
nenda makao makuu vodacom muone mlinzi getini atakurejeshea vocha yako uliyotumia
 
Mitandao hii nafikiri inatuibia. Huo ndo mchezo wa voda yaani ukipiga hata mtu akipokea unakuwa unasikia sauti yako mwenyewe mpaka upige mara ya pili. Hapo hela umeshaliwa.
 
Mitandao ipo kiwizi kweli.
Mfano, ukitaka huduma yao ya cheka na ukawa na hela kamili haikubali, wanadai huna salio la kutosha, wakati unayo 300 au 400 na hunaitaji huduma ya 300 au 400 rezpectively.
Mbaya zaidi hata ukiongeza 50 juu, bado salio linakua halitoshi.
Chaajabu hilo salio linaloongezeka baada ya huduma kukubali litaanza kupungua kidogokidogo mpaka kwisha.
Mwisho wa siku unakua umetumia 500 au 1000 kwa huduma ya cheka ya 300 au 400. TCRA wenyewe madam mshahara na marupurupu yanaingia wako kimya tu.
 
Mimi siwaelewi kwenye hii kitu 'caller tune". Jamaa huwa wananikata karibu mara nne kwa mwezi, sijui nijinasue vipi! Sasa hivi huwa naweka sh.500/- na kujiunga na cheka mara moja vinginevyo,wanaikomba yote eti kwa ajili ya caller tune.
 
Mimi nikuhusu hii huduma ya my no1.utakuta nimetupia vocha ya 1000 kwenye simu den wananionganisha automatiki kwa kunikata 152 hivi . Cha ajabu naongea na selekted namba mpaka 747 inaisha kwa muda huo huo. Je hii haki kwely bora waitoe tu!
 
nenda makao makuu vodacom muone mlinzi getini atakurejeshea vocha yako uliyotumia

kwa vile wewe ni chakupewa kila kitu na baba/mama ako ndo mana huon hasara ukiona jitu kubwa kama wewe kubwa ziima unaongea utumbo kama huo basi ujue hadi dawa ya meno babaako ndo anaekununulia pole sana mvi zitakuota hujui gharama hata ya chupi.
 
Wezi sana hawa jamaa, na hiyo TCRA hawajali kitu, utadhani wana ubia nao kutuibia
 
Mitandao hii nafikiri inatuibia. Huo ndo mchezo wa voda yaani ukipiga hata mtu akipokea unakuwa unasikia sauti yako mwenyewe mpaka upige mara ya pili. Hapo hela umeshaliwa.

Nilizania mimitu kumbe tuko wengi
 
Mimi siwaelewi kwenye hii kitu 'caller tune". Jamaa huwa wananikata karibu mara nne kwa mwezi, sijui nijinasue vipi! Sasa hivi huwa naweka sh.500/- na kujiunga na cheka mara moja vinginevyo,wanaikomba yote eti kwa ajili ya caller tune.

ONDOA kwenda 15577
 
Kwa mfululizo wa takribani wiki kama mbili Vodacom imetulazimisha watumiaje wake/wasio wake kutumia huduma yao ya voice mail ambapo ukimpigia mtu simu ikiita bila kupokelewa automatically voice mail inakuwa activated na unapokata unaambiwa tayari umetumia either 23.2 Tshs (inategemea na umechelewa kukata kwa muda gani) hii haijalishi either ni mteja wa vodacom ama si mteja wa vodacom, Mfano kwa watumiaji wa Airtel ukimpigia mtu wa Vodacom baada ya mawasiliano tu airtel inakupa kimessage kuwa umetumia kiasi gani,

Huu ni wizi wa kulazimishana kulipia huduma ambayo mteja hajaiomba na kwa style hii wanavuna pesa nyingi sana kulingana na wateja walionao,

##002# Ok kuondoa voicemail.
 
Mitandao hii nafikiri inatuibia. Huo ndo mchezo wa voda yaani ukipiga hata mtu akipokea unakuwa unasikia sauti yako mwenyewe mpaka upige mara ya pili. Hapo hela umeshaliwa.

Binafsi nilitumia ujanja kuavoid hilo,ukipiga simu inapoanza tu kuita sema "hello" as if mhusika ameshapokea simu,usipojisikia sauti yako endelea ukijisikia sauti yako mwenyewe ya "HELLO" kata simu upige tena.
 
Mimi nikuhusu hii huduma ya my no1.utakuta nimetupia vocha ya 1000 kwenye simu den wananionganisha automatiki kwa kunikata 152 hivi . Cha ajabu naongea na selekted namba mpaka 747 inaisha kwa muda huo huo. Je hii haki kwely bora waitoe tu!

wanakata 132 na kila unapopigia namba hiyo wanakata tsh 0.13 kwa sekunde.
 
Binafsi nilitumia ujanja kuavoid hilo,ukipiga simu inapoanza tu kuita sema "hello" as if mhusika ameshapokea simu,usipojisikia sauti yako endelea ukijisikia sauti yako mwenyewe ya "HELLO" kata simu upige tena.

hata mimi pia hufanya hivyo.
 
ONDOA kwenda 15577
Nashukuru Kiongozi. Nimejaribu kutuma ujumbe huo lakini mara zaidi ya mia, majibu yanakuwa hivi kila mara:"dear customer,we are experiencing a technical probe, in processing your request at the moment. please try again later". Ni try again later kila siku!
 
Back
Top Bottom