vodacom wajanja night ni noma

wakuu nilikuwa sijajaribu internet ya voda wajanja night, jana nilihitaji software flani na sikuwa na modem nikaona isiwe tabu, ni kainstall symtorrent kwenye simu yangu, nikajiunga wajanja night nakuanza kushusha mzigo muda wa saa sita usiku. Japo nilikuwa natumia simu na software yenyewe ina mb 848 speed yake ilikuwa inachezea 112kb/sec na kupanda mpaka 180. Kufikia saa 8 na nusu hivi usiku mzigo ulikuwa tayari. Nilitamani niendelee download kitu kingine lakini ka memo card ka simu yangu ni 1 GB nikaona ngoja nitatafta 4GB leo usiku nijaribu shusha windows 8.
Jaribu na nyie kweli ni unlimited

Mkuu mzigo wangu unapiga 97Mbps halafu ni unlimited. Baada ya masaa 2 nakosa cha kudownload nawasha free hotspot majirani watumie 😃
 

Attachments

  • Screenshot_20200906_183822_com.android.chrome.jpg
    Screenshot_20200906_183822_com.android.chrome.jpg
    54.2 KB · Views: 2
Aisee ni nomaaa niko mwanza wakuu dude ikagonga 5.8mbps na aikushuka 2mbps utorrent movie za gig zinaisha tu in a matter of minutes not hours
Hapo vp mzee baba
 

Attachments

  • Screenshot_20200906_183822_com.android.chrome.jpg
    Screenshot_20200906_183822_com.android.chrome.jpg
    54.2 KB · Views: 1
Back
Top Bottom