vodacom wajanja night ni noma

vodacom wajanja night ni noma

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,260
Reaction score
9,747
wakuu nilikuwa sijajaribu internet ya voda wajanja night, jana nilihitaji software flani na sikuwa na modem nikaona isiwe tabu, ni kainstall symtorrent kwenye simu yangu, nikajiunga wajanja night nakuanza kushusha mzigo muda wa saa sita usiku. Japo nilikuwa natumia simu na software yenyewe ina mb 848 speed yake ilikuwa inachezea 112kb/sec na kupanda mpaka 180. Kufikia saa 8 na nusu hivi usiku mzigo ulikuwa tayari. Nilitamani niendelee download kitu kingine lakini ka memo card ka simu yangu ni 1 GB nikaona ngoja nitatafta 4GB leo usiku nijaribu shusha windows 8.
Jaribu na nyie kweli ni unlimited
 
mi huwa inagoma kabisa kujiunga......jarib jaribu wapi, Y nikaiacha
 
Mkubwa unashangaa hiyo!! Me kwenye mchina wangu napata hadi 350KBps
 
wakuu nilikuwa sijajaribu internet ya voda wajanja night, jana nilihitaji software flani na sikuwa na modem nikaona isiwe tabu, ni kainstall symtorrent kwenye simu yangu, nikajiunga wajanja night nakuanza kushusha mzigo muda wa saa sita usiku. Japo nilikuwa natumia simu na software yenyewe ina mb 848 speed yake ilikuwa inachezea 112kb/sec na kupanda mpaka 180. Kufikia saa 8 na nusu hivi usiku mzigo ulikuwa tayari. Nilitamani niendelee download kitu kingine lakini ka memo card ka simu yangu ni 1 GB nikaona ngoja nitatafta 4GB leo usiku nijaribu shusha windows 8.
Jaribu na nyie kweli ni unlimited

mi natumia modem yao ila nashangaa hailet HSDPA badala ake inaleta hii slow EDGE
 
Subiri wabane speed mbona mtakoma ubishi na promo zenu!!!!
Wenyewe wanajua wengi wanalala na wanaokesha ni wachache,ngoja sasa wabaini kuwa jeshi zima linakesha na kuikamua bandwith kinoma afu ndo mtafurahi vizuri.
 
Aisee ni nomaaa niko mwanza wakuu dude ikagonga 5.8mbps na aikushuka 2mbps utorrent movie za gig zinaisha tu in a matter of minutes not hours
 
mi natumia modem yao ila nashangaa hailet HSDPA badala ake inaleta hii slow EDGE

nenda kwenye tools then options then network settings afu unachagua 3G hapo itahama na kuwa HSDPA
 
nenda kwenye tools then options then network settings afu unachagua 3g hapo itahama na kuwa hsdpa

achague wcdma only badala ya wcdma prefered ila inategemea maana maeneo mengine kupata 3g ni kizungu zungu
 
jana na leo hali shwariiiiii 6GB masaa 24!,,,

40602015.jpg
 
Ni kweli mkuu, ni unlimited haswaaa...

Back
Top Bottom