VODACOM VS TANESCO: Wana bifu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VODACOM VS TANESCO: Wana bifu?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ulukolokwitanga, Dec 24, 2011.

 1. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Huku maeneo ya Southern Highland minara mingi ya Vodacom (Kama sio yote) inaungurumisha majenereta kila siku. Toka nimerudi home kuhesabiwa yapata wiki moja sasa kila mnara wa voda unatumia jenereta. Nikaamua kumuuliza jamaa yangu ambaye ni mdau wa mawasiliano kulikoni kaniambia kuwa Voda wanadaiwa bili kubwa hivyo wamekatiwa umeme na Tanesco, mdau mwingine akasema kuna bifu kati ya Voda na Tanesco ambayo ina mizizi katika malipo ya Dowans hivyo Tanesco wamewakatia umeme voda kuwakomoa. Mdau wa mawasiliano kaniambia kwa wastani mnara mmoja bili yake kwa mwezi ya umeme haizidi laki tano, ila ukiungurumisha generator mwezi mzima gharama inazidi milioni tano. Pia inaliingiza taifa katika matumizi yasiyo ya lazima ya fedha za kigeni kununulia mafuta ya ziada ku-run minara.
  Kama kuna kdau yeyote humu jukwaani anajua ukweli atujuze ili tulijadili hilo bifu kwani kama lipo madhara yake kiuchumi ni unprecedented. Hali halisi ni kuwa karibu minara yote ya Voda Iringa na Mbeya inaunguruma kwa majenereta, sijui huko kwako...
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,315
  Likes Received: 5,609
  Trophy Points: 280
  Kazi kweli kweli!!
   
 3. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #3
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,875
  Likes Received: 2,817
  Trophy Points: 280
  Inawezekana kuna ki-mgogoro cha chini chinh. Kitambo tulikuwa tunanunua hata Luku kwa M-pesa juzi nimejaribu nusura nilale gizani nikaokolewa na nmb mobile.
   
 4. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #4
  Dec 26, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Hii nchi yetu mambo mengi yanaendelea chini ya kapeti hata kama yana maslahi ya taifa ndani yake. Kama wananuniana hadi kwenye Luku ni dhahiri wanaelekea kubaya. Bado majenereta yanaunguruma tu. Ila hapa Vodacom ndio wataumia mwisho wa siku
   
 5. E

  Elai Senior Member

  #5
  Dec 26, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nilitembelea kijiji fulani Iringa. Kuna umeme wa maji unamilikiwa na Waitaliano. Kuna mnara wa vodacom pale. Mwanzoni mnara wa vodacom ulikuwa umeunganishwa na umeme wa waitaliano lakini niliporudi tena nikakuta wamerudi kwenye jenereta zao.Pia airtel the same trend. Sasa TANESCO watakuwa wameingiaje hapo?
   
Loading...