KakaKiiza
Platinum Member
- Feb 16, 2010
- 11,952
- 9,468
Mimi nikinunua muda wa Maongezi wa 50,000/= Naweza kupiga nchi za nje!
Sasa iweje nikinunua Kifurushi cha Muda wa maongezi nikapata dakika 600 kwa mfano.
Kwanini msiniruhusu kupiga nje ya nchi??
Naomba Vodacom Tanzania mje na majibu kwanini mnatuwekea limitation katika vifurushi vyetu vya maongezi tunavyovinunua??
Aiingii akilini kuwa mimi pesa yangu mtuwekee mashariti hili tutawaomba TCRA walitolee ufafanuzi.
Hivyo naomba mtwambie maana kama kutupiga mmetupiga sana sasa ya tosha.