nenda http://kat.ph pakua Cracked version ya IDM utatumia mpaka version mpya itakapotoka ikitoka nyingine update rudia hatua...
au nenda JF store kuna cracked versions nyingi
Hii kitu mimi nili save katika email. Hii ni baada ya kuitafuta ktk utorrent na kuikosa. Sasa hata simu iwe vipi, nikiitaka lazima niingiie ktk email yangu na kuipakua. Fanya kuni PM email yako nikutumie
Yaah hiyo screenshot niliichukua kwenye dashboard ishashuka ila hii sijasema ni my constant speed but my max speed nayoweza kupata
Maana kipindi nachukua screenshot speed ilikua inacheza 600KB/s mpaka 1MB/s
Infact mimi usiku wa kuanzia saa sita ndo speed yangu ya Tigo hiyo
Leo jioni ntantengeneza Video ila in short mimi usiku kwa Tigo 1MB/sec ni kitu ya kawaida