leo nimedownloard movie mbili zenye ukubwa wa 1.3GB kwa kutumia simu, vodacom pamoja sana.!!!!
hv hamshtuki tu kuwa tcra ndio wanapanga hz bundle?
1. Kwa pamoja walieka vifurush vya kupiga mitandao yote
2. Kwa pamoja walieka kifurush cha 1gb kwa siku kwa buku
3.kwa pamoja walikitoa kifurush hapo juu
4.kwa pamoja wanaeka unlimited kwa buku tigo, voda nimeconfirm
Hallo mkuu naomba unipe maelekezo namna ya kudownload movie Kwa kitumia simu. Nina simu aina ya tecno M3. Natanguliza shukurani.
Mr Kicheko naomba na mimi nicheki PMcheck PM
mlioko town mnaenjoy sana huku vijijini mtandao mbovu sana, unaandika EDGE hata ufanyaje uwezi download movie au kutazama video youtube...wakuu naomba kama kuna jinsi ya kuongeza spidi mnijuze nataabika na mtandao sana
Mkuu download app ya "show box "View attachment 159903
Ukiifungua utakutana na kitu kama hiki View attachment 159904kuna low, medium na quality unachagu mwenyewe kulingana na matakwa yako au uwezo wa kifurush chako. Pia unauwezo wa kuangalia online.
Tigo ukipata 500KBps mpaka 1MB/s ni kwa bahati sana na mimi bila 1MB/sec bora niachane na kudownload yaani hainipi munkali kabisa
Ipo katika play store?
Mkuu download app ya "show box "View attachment 159903
Ukiifungua utakutana na kitu kama hiki View attachment 159904kuna low, medium na quality unachagu mwenyewe kulingana na matakwa yako au uwezo wa kifurush chako. Pia unauwezo wa kuangalia online.
Speed inategemeana na mahala ulipo.
Mwingine voda ndio mtandao wenye kasi, na mwingine ni airtel na mwingine atakuambia ni tigo wakati kwa mimi nitakuambia hakuna mtandao wenye kasi kama zantel.
Hivyo mahala na idadi ya watumiaji ndio determinant ya speed utakayopata. Najua kuwa unajua kuhusiana na hili.
Huu utamu wa kupakua movie online wengine tunaukosa,natumia apple ipad 3 64gb lakini kudownload music inagoma,kupakua videos/movies inagoma na hata itunes haifunguki,nisaidieni waungwana
Sent from my iPad
Naomba mnielekeze jinsi ya kudownload movie kwa kutumia IDM kutoka torrent na pirate bay
Sent from my iPad
hv hamshtuki tu kuwa tcra ndio wanapanga hz bundle?
1. Kwa pamoja walieka vifurush vya kupiga mitandao yote
2. Kwa pamoja walieka kifurush cha 1gb kwa siku kwa buku
3.kwa pamoja walikitoa kifurush hapo juu
4.kwa pamoja wanaeka unlimited kwa buku tigo, voda nimeconfirm
Habari. Kwa sasa natumia utorrent kushusha movies and series. Ila naona haiko fasta kama nilivyokua natumia app ya kickass ku download. Tatizo tokea nibadili simu nimeitafuta hadi nimechoka app hii ya kushushia movies ya kickass ila sijaipata ila naona substitute zake tu.
Msaada hapa!
hiyo haiwezekani ila TU kwa ku subscribe premium sites za kubadilisha Torrent files kuja direct links/downloads e.g ZBIGZ,Bybtex,justsee.it,put.io etc
Kazi kwako