Vodacom Tz mmeanza kuboa siku hizi

Vodacom Tz mmeanza kuboa siku hizi

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
25,210
Reaction score
40,652
Habari wana JF,
Nimekuwa mtumiaji mzuri wa mtandao wa Vodacom kwa zaidi ya miaka kadhaa sasa,hawakuwa na tabia ya kutuma meseji ovyo ovyo kila mara hasa za matangazo,sikatai meseji kwasababu ni biashara,shida yangu ni kutumiwa meseji zaidi ya kumi hata chini ya saa moja lakini iileile ya aina tangazo moja.Yaani unaweza dhani meseji ya maana kumbe ile ile ya Tangazo,haya mambo tulikuwa tunayasikia watumiaji wa Tigo wakilalamika lakini naona Vodacom nawao wameanza huo ujinga,kuna meseji ambayo inatia fora zaidi ya DAKA PESA yaani imekuwa kero.

Vodacom Tz,rekebisheni hilo mnaboa
 
Bora wewe kumi mimi zaidi ya 20 kwa saa.
Za voda pekee kama kumi na tano zingine za hamasa ya matatu mzuka sportpesa na upumbavu mwingine
.
Zingine za haya mamoja special, boompesa sijawahi hata kujaribu kucheza zinavyomiminika sasa duuu nampango wakupiga simu customer care
 
Habari wana JF,
Nimekuwa mtumiaji mzuri wa mtandao wa Vodacom kwa zaidi ya miaka kadhaa sasa,hawakuwa na tabia ya kutuma meseji ovyo ovyo kila mara hasa za matangazo,sikatai meseji kwasababu ni biashara,shida yangu ni kutumiwa meseji zaidi ya kumi hata chini ya saa moja lakini iileile ya aina tangazo moja.Yaani unaweza dhani meseji ya maana kumbe ile ile ya Tangazo,haya mambo tulikuwa tunayasikia watumiaji wa Tigo wakilalamika lakini naona Vodacom nawao wameanza huo ujinga,kuna meseji ambayo inatia fora zaidi ya DAKA PESA yaani imekuwa kero.

Vodacom Tz,rekebisheni hilo mnaboa
Ni kweli kabisa mfano siku hizi ukituma M-pesa unapata ma sms karibia ma tano au sita..........kwa nn hizo sms zote wasiziweke kwenye sms moja au mbili?
 
5I481MWNPAU?04-09-2018 15:50:12?04-09-2018 15:50:13?Customer Transfer to 255767080177 - ALEX SILIVANUS?255767080177 - ALEX SILIVANUS?Completed?TZS?Tsh-135,000.00?Tsh1,647.99 Mi Naomba Sana Atakaenisaidia kumpata huyu Mtu tutagawana hizi pesa pasu kwa Pasu mi niliwapigia Voda Ndo Wakanitumia hiyo Meseji Hawa Wezi ni Washenzi saana Atakaefanikia Aingie Inbox Nitashukuru.
 
na bado wizi wa pesa hapo ndio mwisho.. Kuandia vocha mpaka m-pesa na m-pawa...
Niwashauri tu watumiaji wa voda mnaoweka hela nyingi M-pesa au M-pawa na kununua nunua airtime au bundle mara kwa mara muwe na tabia ya kuangalia transactions zinavyoenda, mimi nimeona wanaiba yani kidogokidogo hata kujua si rahisi
 
Hadi nimeshakariri muda wao wa kutuma matangazo. Wanakera mamessage kila mara.
 
Back
Top Bottom