Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 33,708
- 97,528
Hello Vodacom Tanzania?
Kwanza tunashukuru kwa ukimya wenu
mliouonesha pale Serikai yetu tukufu ilipotangaza
kodi ya simu kwa kila line, siwezi sema kama
mlifurahishwa au hamkupendezwa na ilo, ila
kuna habari za chini ya uvungu kutoka kwenye
source inayohaminika (ya hapohapo mjengoni)
kwamba hizo taarifa mlikua nazo tokea kitaaambo
kabla ata hazijatangazwa bungeni, ile kwenu
haikua suprise na kwamba kwa kuonesha
unyenyekevu kwa "wakubwa" hao, mlihafiki swala
ilo kiroho safi.
Kwahilo siwezi weka conversation ya nyie, maana
as you know nina historia na nyie hapa Facebook,
labda admins muwe wageni.
Ok, sijaja aswaaa kwa ilo, nina langu la
kuwashauri leo.
Nikiwa kama mdau na mtumiaji mzuri wa M-
Pesa, ningependa kuwapa hii advice. Kabla
sijaenda sana ni vema ungetafuta peni na karatasi
mzee, kama huna, achilia hapa kusoma zitafute...
Naona mnaangaika sana na hizo Cheka zenu
zinazowafanya kila siku mbadirishe codenames,
mara cheka nao, cheka nasi, cheka chostic, cheka
mpaka basi, etc zikiwa na tofauti ya dakika 5 sijui
au viji-mb viwili, yaani watoto wa uswahilini
wanasema hapana jipya hapo Wakati mnaiacha
M-Pesa ambayo inawasaidia sana wananchi
directly hasa wale walio vijijini ambao huduma za
kibenki kwao msamiati. Sidhani kama wao wako
interested na hivyo Vyeka vyenu, hajui maana ya
MB, EDGE, 3G wala nini kwanza simu yenyewe
Nokia 1200. Nawashangaaga sana lile tangazo
lenu Cheka Bombastick mmemweka babu na buti
zake za shamba eti anacheeeka na iPad, hivi
mnaleta adithi hapa? Ile kitu ni impossible labda
ipite world war 3. Mtu wa kijijink sanasana ana
access na MPesa kila siku sio hizo Vyeka. Ebu
wafikirieni mara mbili na sio kukazana
kuwashikiria wateja wenu walio mjini kuwapa ofa
za kuwafanya wazidi shinda online katika social
network na kubrowse mambo ata yasiyo yamsingi
(Utafiti niliofanya, ni 18% tu ya watumiaji wa
internet ktk simu wanatumia ktk mambo ya
msingi, hao waliobaki hakuna kitu, mkitaka full
reseach mnitafute). Tuache propaganda.
Namaanisha hivi, wekeni innovations zaidi katika
huduma ya MPesa kuliko hizo Vyeka zenu.
Nikianza na mfano. Kwanini msiweke uwezo wa
mtumiaji wa M-Pesa kuweka pesa zake kiwango
kikubwa zaidi (Max Milion 5 au ata zaidi kidogo).
Najua mtaniona Chizi, kwamba kiwango kikubwa
kama hiki kikae kwenye simu? Kikiibiwa je?
Hapana, mimi sio kama wengi wenu, ebu jaribu
kuninisikiliza kwa umakini. Hii itakua tofauti kidogo
na MPesa ya kawaida. Yaani iwe ni ya Muda
maalum. Mfano, mtu anataka wekaza
kidogokidogo pesa kwaajili ya ada za watoto wake
miaka miwili ijayo, so anakua anaweka tu na hana
uwezo wa kutoa labda iwe emergence sana, na
atatakiwa kwenda Vodashop na sio kwa Wakala
hawa wa mtaani. Inakua kama serving accounts
katika hizo banks NMB au CRDB. Hiyo itakua na
msaada kwa wakulia wenye mpango wa kununua
matractor baada ya miaka kadhaa mfano, so
wanakua kila mpesa ndogo wapatayo (May be
minimum kiwango cha kuweka kinakua tsh buku)
anakifowadi katika hiyo serving account yake na
nyie mnakua mnaongeza vijicent kadhaa kumpa
support kwa mtindo wa riba hivi. Kama
mmesahau zile hesabu za riba ktk bank,
I=PRT/100 kama sijakosea darasa la 6.
Mmenipata? Kama hamjanielewa nadhani
inapaswa mfundishwe manually, vichwa vyenu
vigumu.
Naomba niishie hapa nione utekelezaji wenu ktk
ilo wazo langu. Sio lazima mlitekeleze leo, inaweza
kua challenge tu katika huduma zenu. Think Big
guys.
Ni mimi mlienidhurumu.