Vodacom tunaomba mfanye marekebisho kwenye commission

Afadhali umesema ukweli matra yasije kesho jioni yakavamia vibanda vya m-pesa
 
Afadhali umesema ukweli matra yasije kesho jioni yakavamia vibanda vya m-pesa
wale watu hawachelewa(gi) asee. Sema mshikaji angesema kwa huduma ya lipa kwa M-PESA mtu alikua na uwezo wa kutengeneza hiyo faida ila nayo inahitaji wateja wa kutoa tu. Alafu kwa Sasa ndo ivo wanafungia lain zote za lipa kwa M-PESA ambazo zinatumiwa kama huduma ya m-pesa.

sio vizuri mtu kuandika taarifa za uongo kama Hana taarifa kamili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni haki yenu kudai ila tatizo wabongo hawajitambua naona hapa watu wengi wanakubeza

Vodacom wao wanamiliki system tu ya M-PESA na nyinyi mmewekeza pesa zenu pamoja na mda wenu sio dhambi kudai kama mnaona mnapunjwa

Na ni kweli mnapunjwa mteja akitoa kwako tshs 200000 anakatwa fee zaidi ya elfu 5 sasa iweje we we wakala uliyowekeza mtaji wako na mda wako upewe tshs 640 alafu wao wanao miliki system tu wachukue zaidi ya tshs 4500

Kama mawakala wote mna umoja dai maslahi yenu yaboreshwe

Ukweli ni kwamba kama hakuna wakala wa M-PESA vodacom wao na system yao hawatapata hata shilingi moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naona umeandka kwa herufi kubwa yenye uchungu ndan yake.nakuja pm kukudokezea tu jinsi tunavyopiga kazi.lengo langu ni kutaka kukwambia usiwe unapinga tu kila hoja.

NB.siji kama tapeli kukwambia fanya ivi.au toa kias hiki .usome tu uelew then tuishie hapo .
 
Mabepari ndio maana nikaachana na hii biashara.. Wahuni sana hawa
 
Sijui kwanini duniani mnyonge anaishi kama mwenye nguvu na mwenye nguvu anaishi kama mnyonge.

Katika nchi wenye nguvu ni Raia na sio serikali ila serikali ndo inaishi kama ndio wenye nguvu

Katika biashara ya Mobile money wenye nguvu ni Mawakala na Wateja ila Service Providers ndo wanaishi kana kwamba wao ndio wenye nguvu.

Ukitaka kujua kama Mawakala na Raia ndio wenye nguvu tuzisusie hizo huduma zao tuone watafanyaje.

TUJITAMBUE.
 
Mkuu weka hapa na sisi tujue iyo njia unayotumia
 
Hapo ndo ulitakiwa useme mapema kua kuna njia zako unazo tumia unazo jua wewe kutengeneza faida hiyo ila biashara harisi ya M-PESA hutengenezi faida uliyo sema hapo labda uwe unatumia lipa kwa M-PESA.

Kwa Sasa sina shida ya kuja PM kwakua Nina taka kuachana na hii biashara kichaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu!. Kuna jambo ambalo hamlielewi kidogo.

Kwenye makato anayokatwa mteja, kuna msururu wa wanaohitaji hiyo Commission:
1)Wakala aliyemuwekea mteja
2)Wakala aliyemtolea mteja
3)Wakala Mkuu (Super agent) aliyemhudumia Wakala wa kawaida
4)Meneja wa Eneo apate chake pia
5)Serikali ipate VAT
6)Vodacom nao wapate chao kidogo

Kwa hiyo, ni mgawanyo kwa kila aliyehusika na huo muamala kupata kidogo kidogo.
 
Mkuu namimi nije PM unipe maujanja ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…