Childhood diplomacy
Member
- Sep 22, 2017
- 38
- 15
kama ulishaipata shukru sana mimi saiz huu mwezi wa pili ambacho walikifanya walinipa namba ya kampuni ambako nilikosea ndo wanairudishie mpka nimekata tamaaM-PESA (VODACOM TANZANIA)
Jamani, mimi binafsi siwaelewe VODA NA MPESA, hivi kwa nini ukikosea kutuma pesa au kufanya malipo inachukuwa muda mrefu sana kurudi kwenye akaunti, Yani nimeongea na Huduma kwa mteja ananiambia nisubili siku saba, kati ya siku zote nimekuwa discouraged sana kutumia VODACOM kwenye transactions za pesa..
MY.QNS Hivi hili tatizo la kuchelewa kufanya reversal nakumbana nalo mimi tu, au na wadau wengine, kwa sababu inaumiza sana,,,,,
Sorry, nimekosea badala ya nmb nimepost kwenye vodacom. Voda nyie hamjawahi kuniangushaNimetoka kuongea na customer care wenu hivi punde, ni washenzi sana yaan huyu dada ananikaripia wakati mi ni mteja? Shenzi.
Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Utasikia basi limeua wanne,
Piki piki imeua sita,
Au waliokufa muhimbili wamefika 100 kwa mwaka jana,
Meli ya Nungwi imeua 60,
Na hao ni wateja wa M-PESA, Tigo pesa na Airtel money,
Hela zao zinaendaga wapi?
Kuna utaratibu upi wa kuwapatia survivorship au next of kin wao?
mnazingua nyie mlichukua luku yang mpaka leo hamjarudishaKweli kabisa mkuu mwenyewe Kuna mtu kanilalamikia kweli eti nimetumia salio lake baada ya kunikabidhi simu yake niichaji na anatumia VODA pia.
yajayo yanafurahishaaaaaNimetoka kuongea na customer care wenu hivi punde, ni washenzi sana yaan huyu dada ananikaripia wakati mi ni mteja? Shenzi.
Mkuu tafadhali nipatie utaratibu wa jinsi ya kuwa super agent wa m-pesa.Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
Vodacom Tanzania
Mimi nilinunua hisa ya Vodacom lakini mpaka sasa sijapata mrejesho wowote kuhusiana na hisa yangu.Ndugu mteja,