Vodacom ni wezi wa bundle za wateja?

Voda wapigaji mi natoa ushahidi mana ukinunua kifurushi cha mitandao mingine same quantity sio kama tigo then voda mwanzo ilikua unaweza download kwenye torrent kitu cha mbs 380 hadi 400 na zaidi kwa mbs 500 ila we jaribu kama we kwel mtumiaji wa bando vitu vya background avitumii hata 100 mbs kwa siku unless kuna app inataka ku update tena kwa computer ni mara chache update ufanyika tena mi natumia halotel usiku gb10 kufanya update zote then asubuhi inakua imemaliza zote update sasa jiloge kugusa voda nimetumia sana voda nw mzee unapigwa sema we mbishi tu naona umekariri au mgeni wa miaka hii kutumia internet
 
Fanya petition mkuu ili uwe na uhakika! Ila naomba kuuliza kwanza wewe umesoma fani gani mkuu? Ili tusijechanganyana mbeleni
Hivi hata kugungua unaibiwa inategemea na fani uliyosomea? Makampuni ya simu niseme tu yote kuna namna wanawaibia wateja wao, malalamiko yamekua mengi sana lkn hatujawahi kuwasikia PR officers wa hizi kampuni wakitolea ufafanuzi haya malalamiko badala yake baadhi ya wateja ndy wamekua watetezi wao. huku marketing managers wao wako kwenye media kutangaza promotion zisizo na mbele wala nyuma.
Halafu
 
Iv we lizaboni akil yako ipo vzur kweli? We muda wote Ni siasa tu unawaza. Umemsaidia nn mtoa mada kwa Hilo jibu lako.
mkuu, humu kuna mabingwa wa kujitoa akili, mojawapo ni hili li Lizaboni. sisi hapa tunaongelea WIZI unaomkumba kila mtu, lenyewe linakuja hapa kujitoa akili.
 
Ndomana unatakiwa ulipe kodi ili uinue nchi wewe....!!!?
mkuu upo bia ya ngapi? nataka nijue kabisa aina ya mtu ninayeongea naye. KUIBIWA DATA na KULIPA KODI vinahusianaje?
 
Aiseeee nilifikiri ni mimi tu kumbe ni kweli hawa voda ni wezi.nilijiunga kifurushi cha 1gb lakin kiliisha ndani ya siku mbili, wakati asubuhi mpaka jioni natumia wi fi ya ofisi!!!!!! Natoka ofsin saa moja jioni!! Hawa voda ni wezi wakubwa. Halafu vifurushi vyao bei juu bado hawaridhiki wanaiba na mb. Inabidi tu niwahame sasa
 
Jamani mi ndo wanaiibia kila iitwapo leo.nimechoka!!! Nataka nihamie mtandao mwingine.acha nihamie dodomia.
 
Jamani mi ndo wanaiibia kila iitwapo leo.nimechoka!!! Nataka nihamie mtandao mwingine.acha nihamie dodomia.
Mkuu, twenzetu HALOTEL....wadau wanasema halotel wako vizuri sana. Ukipata modem 2 za halotel unigawie moja....nimezitafuta sana modem hizi lakini kila duka ninaloenda naambiwa zimeisha...inaonekana zinanunuliwa sana.
 
mkuu, haya matutusa ya TCRA ndio hovyo kabisa....yanaona kabisa jinsi tunavyoibiwa lakini hayachukui hatua za kututetea.
 
mkuu, haya matutusa ya TCRA ndio hovyo kabisa....yanaona kabisa jinsi tunavyoibiwa lakini hayachukui hatua za kututetea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…