Salim A. Msangi
JF-Expert Member
- Apr 26, 2011
- 566
- 511
Hakuna kitu kama hicho kiwango cha data kinacho katwa ndani ya muda mfupi hakilingani na kiasi cha 'auto download' na tunajua kunayo hiyo auto so nimeziswitch off. Na je ni update gani hizo zisizo isha? au nyie mnatumia net ya ofisi hivyo machungu haya yanawapitia mbali?Asante nilitaka nimuulize kuhusu auto download hasa kwa Pc
umeona eeh? labda hawa voda watuambie kama kuwasha tu PC bila kufanya chochote kunatumia bundle. vodacom ni zaidi ya MAJIZI.Kaka hata mimi jana jioni nimefanyiwa hivyo hivyo. Nimeweka vocha ya tzs 1500 nikajiunga na kifurushi cha GB 1.. Nikapata confirmation kabisa kwamba nimeunganishwa na kwamba niendelee kutumia. Cha kushangaza, ndani ya dk zisizozidi 15 naona meseji inaingia kwamba MB zinakaribia kuisha, mara ghafla internet ikawa loadiiing tuuuu haisomi. Meseji ikaingia tena kwamba furahia intaneti kwa tzs 0.2per kb. Aiseee nimemaindi sana. Mimi ni Sotware Developer, sikuwa nadownload chochote wala lolote. Ndio kwanza nimewasha mashine nianze kufanya yangu. GB 1 kuisha ndani ya dk 15 kweli jamani. ..?
mkuu yaani vodacom ni zaidi ya MAJAMBAZI.wanapora bundle za wa wateja mchana kweupe tena kwa kutumia mtutu.Nilidhani nipo peke yangu. Tangu juzi nimeona hiki kitu kwangu.
Jana usiku nimelala na 237MB na nikazima simu ,this morning nimewasha tu unakuja ujumbe kuwa MB za kifurushi zimekwisha !!!!
Unadhani wewe mwenyewe ndio unatumia laptop? Wote tunatumia na tumesoma IT so usitudanganye kadanganye kijijini ambako hawajui! Natumia simu ya smartphone na laptop na huwa nafuatilia sana hayo ni mambo ya kawaida kama updates iko automatically na simu mtu kainstall app, background inafanya kazi kwenye laptop unafikiri inatumia maji?
Nikienda lunch, naenda kusajili line ya Halotelmkuu yaani vodacom ni zaidi ya MAJAMBAZI.wanapora bundle za wa wateja mchana kweupe tena kwa kutumia mtutu.
Acha kutoa povu! Utumiaji wa mitandao unamanisha nini? Aietel unamanisha halotel au airtel? Kiufupi tu ni kuwa hujui unachongea na wala mimi sio mfanyakazi wa Voda na ninatumia mitandao yote unayoijua hapa Tanzania na uzoefu wangu umenionyesha watanzania wengi tu wajinga kwenye kuelewa technolojia inavyokwenda kwa hiyo sishangai watu kama wewe kwani wengi wetu tuko hivyo, watu walianza nikiweka hela inakatwa bila hata Kujua kuna mahuduma amejisubsribe bila kuijua, mara imekuja bundle linaisha bila kujiuliza nini kinatumia bundle yeye mbio mbio kwenye mitandao ya kijamii, unasema kaleta vithibitisho embu tuonyesha hivyo vithibitisho? Acheni biashara za kuchafua biashara za watu bila kujiridhisha mcholalamikia kimethibitishwa kitaalamu. Wewe na kinokia chako ndio unathibitisha kitaalamu! Wengine wanajiunga hata msg haijarudi keshaingia kwenye matumizi hela inaliwa dakika anasema bundle limeliwa yaani Tanzania ni nchi ambayo idadi ya wajinga ni kubwa kuliko nchi zote za africa mashariki na kati.huu uzi umevamiwa na litendaji limoja la voda hovyo kabisa linafikir tatizo lipo kwa jamaa tu mbona tigo na aietel hukuna mambk za kihanisi kama za voda linasema eti setting sijui kuji update linafikir utumiaji wa mitandao tumeanza 2016 hovyo kabisa
Voda ni wezi sana mi niliiacha kutumia natumia halotel kuna laini zao za chuo saafiumeona eeh? labda hawa voda watuambie kama kuwasha tu PC bila kufanya chochote kunatumia bundle. vodacom ni zaidi ya MAJIZI.
Voda ni wezi sana mi niliiacha kutumia natumia halotel kuna laini zao za chuo saafi
Acha kutoa povu! Utumiaji wa mitandao unamanisha nini? Aietel unamanisha halotel au airtel? Kiufupi tu ni kuwa hujui unachongea na wala mimi sio mfanyakazi wa Voda na ninatumia mitandao yote unayoijua hapa Tanzania na uzoefu wangu umenionyesha watanzania wengi tu wajinga kwenye kuelewa technolojia inavyokwenda kwa hiyo sishangai watu kama wewe kwani wengi wetu tuko hivyo, watu walianza nikiweka hela inakatwa bila hata Kujua kuna mahuduma amejisubsribe bila kuijua, mara imekuja bundle linaisha bila kujiuliza nini kinatumia bundle yeye mbio mbio kwenye mitandao ya kijamii, unasema kaleta vithibitisho embu tuonyesha hivyo vithibitisho? Acheni biashara za kuchafua biashara za watu bila kujiridhisha mcholalamikia kimethibitishwa kitaalamu. Wewe na kinokia chako ndio unathibitisha kitaalamu! Wengine wanajiunga hata msg haijarudi keshaingia kwenye matumizi hela inaliwa dakika anasema bundle limeliwa yaani Tanzania ni nchi ambayo idadi ya wajinga ni kubwa kuliko nchi zote za africa mashariki na kati.
Bonyeza *148*55# chagua namba 1 vifurushi vya halotel mkuu utakuta dakika sms na MbUnajiunga vipi bundle ya internet ya wiki kwa line ya chuo ya Halotel? Mimi nilinunua majuzi hapa hii line na nimejaribu kupiga *148*55# lkn sioni bundle ya wiki ya 10GB kwa elfu 10.
hili sasa ndo povu lenyewe ushameza ndoo ya omo kifupi voda ni wezi hiyo mitandao yote uliyoorodhesha hapo wako safi kinoma kifurushi cha jero unapata mb 300 wakati wezi voda unapata 150 na bado kwa dakiki 4 wanakula mb zaidi 37 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Badala ya kutoa povu JF bora ungepiga simu vodacom customer service kwanza. Bila shaka ungeambiwa sababu gani vi-megabytes vyako viliisha.