vodacom net bundle v/s airtel net bundle


unaweza kucheki ni provider gani huyu ...
 

wanajuaje kama kwa muda huu ni kusurf au ni kudownload?? 50GB kusurf?? i am interested.....
 
wanajuaje kama kwa muda huu ni kusurf au ni kudownload?? 50GB kusurf?? i am interested.....

Kwa maana nyengine 7.2 mbps speed ya kutumia 600mb kwa mwezi na 160kbps aka 20KBps speed ya 50gb tena sometime inanata 7KBps haipandi
 
haha mkuu kwani unadhani kila mtu ananunua bundles mkuu hehe?

voda wana Sh 300 kwa 1mb. Inamaana GB 10 kama za mgeni3 hapo ni mil ngapi vile? Hesabu za kuzidisha zinanipiga chenga so nakuachia homewrk hiyo, huku ukijua unlimited net ni sh 30K. Unless jamaa ni fisadi nakubaliana nawe 😉😀
 
Mgeni3 hawezi kukudanganya hicho ni kichwa cha zamani sasa yupo busy tu. Better ukachukua busara kidogo kwake amefanya vipi hilo litakua la maana



Nafkiri sasa atakua kishaelewa

haya chief if you say so, mgeni3 mwaga maujanja cause men hiyo speed kwa unlimited after downloading 10Gigs ni impossible, unless ananunua kwa gigs ambayo cost ni kubwa mno
 
Last edited by a moderator:
yeah inahusika sana tu...jamaa wapo poa pia... hii ndio speed yangu jamen
 
okay so ni kifurushi gani una2mia by d way?
kuna times BOMBA 7, smtimes 30 cha msingi ukishaunga afu unadownload usidisconnect ile first day, ukiweza usichomoe modem mpaka hizo siku 7 zinaisha wala kuizima laptop..... unaweza ukashusha mpaka 10gb kwa speed kubwa tu. Afu kuna special cases baadhi ya line hawapunguzi speed hata baada ya kukutumia ile sms ya kuwa speed itapungua!
 

.....
....




hawa jamaa wawili naona hawakubaliani nawe but okay, ntajaribu those other tips nikimaliza hii ya mwezi cause ma speed is already down balaa nikipata above 50kbps downloading speed sherehe
 
.....

....





okay, ntajaribu those other tips nikimaliza hii ya mwezi cause ma speed is already down balaa nikipata above 50kbps downloading speed sherehe

tumia 200 ya voda usiku
 
tumia 200 ya voda usiku

Nilikua na2mia hiyo but sasahivi ni ka wk ya pili haikubali kuunga nmeshajaribu laini kama 3 hivi hamna ki2. Nikachukua ya mwezi nikijua itakua the same na hii ya 200( hii nakubali asee speed ile haishikiki). Kujiunga 2 na hii ya 30,000 nikakutana na sms kua nina 3GB baada ya hapo speed itashuka and yeah ilishuka balaa nasota nayo 2 now 🙁
 

hata kwangu hiyo ya 200 ilikua inazengua but now mambo mdundo hit *149*01# then Late Night Offer ka kawa, pia mkubwa voda wana toa 5GB kwa 20,000 why ujitese na 10Kbps kwa 30,000??
 
hata kwangu hiyo ya 200 ilikua inazengua but now mambo mdundo hit *149*01# then Late Night Offer ka kawa, pia mkubwa voda wana toa 5GB kwa 20,000 why ujitese na 10Kbps kwa 30,000??

it worked (i can't believe nnanunua tena net wakati wameshaniuzia kifurushi chao kwa 30K). Nahamia TTCL by d way
 
it worked (i can't believe nnanunua tena net wakati wameshaniuzia kifurushi chao kwa 30K). Nahamia TTCL by d way

Me mpaka offer iishe ndo ntajua kuhama saiv wacha nikomae nao tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…