vodacom na ero link | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

vodacom na ero link

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by kaburu mdogo, Oct 16, 2012.

 1. kaburu mdogo

  kaburu mdogo JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 421
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  kiukweli hawa jamaa wa ero link wanajitahidi sana kutafutia watu kazi huko voda,ila jamani mshara ni mdooooogooo mbaya yaani ni mdogo kwa mtu mwenye degree yake!maendeleo yataletwa na sisi wenyewe ila kwa hili la ero link ni ngumu
   
 2. M

  Mwanasazi JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 237
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Kwani wanalipa mshahara bei gani take home
   
 3. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  mimi nakaribia kutupa line yao nimechoka naomie
   
 4. n

  nash koba Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  twambie kiwango hicho kiwekwa mfukono mkuu
   
 5. NGOGO CHINAVACH

  NGOGO CHINAVACH Verified User

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 797
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  mkuu, mshahara wako wa voda mnagawana na erolink
   
 6. kaburu mdogo

  kaburu mdogo JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 421
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  wanalipa kitu kama 200,000 au 250,000
   
 7. E

  Executivesister JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 366
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  246,000 ndo take home,hopeless kabisa yaani
   
 8. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  na spanco je?
   
 9. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  nasikia hawa mawakala wanalipa ifuatavyoo
  nft tigo 500000
  eri link vodacom 300000
  spaco airtel 180000
   
 10. YETOOO

  YETOOO Member

  #10
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmmmh hao ero link ni kiboko wao wanachukua zaidi ya robo tatu ya mshahara wako mkuu,maana kama wanalipa 246,000/= na wenyewe wanachukua 850,000/= kwa kila kichwa huo ni unyonyaji wa hali ya juu sana.Hivi ni makaburu wale au????
   
 11. m

  mtafutajihodari New Member

  #11
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  230,000
   
 12. Jasnira

  Jasnira JF-Expert Member

  #12
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 264
  Trophy Points: 80
  Nisaidieni jamani naenda kwenye interview kesho hivi wanauliza maswali gani ya oral....help
   
Loading...