Vodacom na DStv kuna matatizo gani?

Dec 8, 2018
12
45
Kutoka Ijumaa watu wanafanya malipo ya ving'amuzi kwa njia ya M-Pesa lakini hakuna mrejesho wa ujumbe wa kuwa malipo yamefanyika au kutofanyika. Matokeo yake tunakatiwa matangazo na DStv. Ukipiga Customer Care majibu yanatolewa mepesi tu kuwa. Subiri ndani ya masaa 48 na DSTV majibu ya baadhi ya wahudumu wenu yanakatisha tamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom