Black Coffee
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,936
- 3,195
Ndo niko stage za mwisho kabisaa kuwahama
Yawezekana wana ubaguzi kwa wateja (natania). Nimenunua kifurushi cha dar supa UNI nikiwa mikocheni net ikagoma, nikaenda kawe kuwasha net hamna kitu. Nikasogea tangi bovu mambo yakawa yale yale. Nikaenda mwenge nako kifurushi hakiungi net. Sikua na namna tena zaidi ya kuwapotezea na kurudi kwa mtandao wangu wa zaman
Shida n kwamba sio wote tunanunua mb kwa ajil ya fb,whatapp au instagram. Kwel mfumo wa vodacom siuelewi coz jinsi unavyotumia zaid na bei ndio inapanda badala ya kushuka
Wakuu tafadhali msihame,wengine tuna hisa zetu humo! Please hebu tufikirieni na wenzenu
we ndo umeniacha hoi

Ivoda ukikwangua vocha ukasahau kuweka kwenye cm wanakata hata ikiwa mezani, ukanunua halaf hujaikwakungua jinsi walivyo waroho wanakutext "mbona hukwangui hio vocha? Ita expire ujue" wajamaa ni waroho kana kwamb hata kama simu imezima charge, ukipitsha vocha tu karibu inawaka. Blv me, sisemag uongo wala hata sijui bang ikoje
viroba hivi

Saa 5 mpaka saa 11 alfajirUni ofer za voda wamenipa gb 2 + 2 za usiku kwa Tsh 2500 ila bado sijajua usiku wao unaanza saa ngap,anayejua anifahamishe!
Inaanza usiku saa 5 hadi saa kumi 11 alfajiri.Uni ofer za voda wamenipa gb 2 + 2 za usiku kwa Tsh 2500 ila bado sijajua usiku wao unaanza saa ngap,anayejua anifahamishe!
Maana yake ni kua ya sasa Yanatisha, huzunisha na Kukasirisha kabisaAma kweli yajayo yanafurahisha😡😡😡