Nadhani alihisi kuna kamchezo fulani. Mdada mmoja namkumbuka kwa jina la pili "Mhagama" aliyepo Njombe alipokea simu na kujieleza kama vile ni pesa ya malipo ya deni lake aliyokuwa akiisubiri. Kilangila.Hahahah alishtuka kwann mkuu.
Nadhani alihisi kuna kamchezo fulani. Mdada mmoja namkumbuka kwa jina la pili "Mhagama" aliyepo Njombe alipokea simu na kujieleza kama vile ni pesa ya malipo ya deni lake aliyokuwa akiisubiri. Kilangila.Hahahah alishtuka kwann mkuu.
Nadhani alihisi kuna kamchezo fulani. Mdada mmoja namkumbuka kwa jina la pili "Mhagama" aliyepo Njombe alipokea simu na kujieleza kama vile ni pesa ya malipo ya deni lake aliyokuwa akiisubiri. Kilangila.
Sasa usanii wanaufanya hao hao voda inakuwaje mtu wa voda anashtuka tena alafu wa bodi anang'aa sharubu? aseeNadhani alihisi kuna kamchezo fulani. Mdada mmoja namkumbuka kwa jina la pili "Mhagama" aliyepo Njombe alipokea simu na kujieleza kama vile ni pesa ya malipo ya deni lake aliyokuwa akiisubiri. Kilangila.
jinsi ya kujiunga na voda uni
jinsi ya kujiunga na voda uni
Mkuu hiyo inakubali laini yoyote au laini za chuo pekee?jinsi ya kujiunga na voda uni
jinsi ya kupata uni offer nivp?Uni ofer za voda wamenipa gb 2 + 2 za usiku kwa Tsh 2500 ila bado sijajua usiku wao unaanza saa ngap,anayejua anifahamishe!
inagoma, au wewe uliungwa?*149*42#
sio zoteMkuu hiyo inakubali laini yoyote au laini za chuo pekee?
Natoka Fb kusoma lalamiko, naingia JF nakuta lalamiko. Voda wajiangalieView attachment 781543


Hii inaitwa mbwa kala mbwaKampuni kubwa ya kimataifa haina mikakati ya kibiashara,mnachekesha mno,na kama hakuna MTU anayewahujumu basi pigeni chini management yote ya "Sales and Marketing".
yaani nyie mna tabia zote za kichawi, kila siku mnabuni mbinu za kuwakamua wateja wenu,matokeo yake mnapoteza zaidi ya mil 200 kila wiki,Mteja aliyekuwa akipata MB au vocha kwa sh 500 per week ,sasa hivi mmeweka eti sh 20,000 kwa mwezi,mnadhani pesa zinaokotwa?
kwa hiyo mmepoteza zaidi ya wateja 100,000 ambao mlikuwa mkipata zaidi ya mil 30 kwa siku faida tu,after tax payment, 100,000 x 300=30,000,000.
nawafahamu mno aina ya watu mliowaajiri,lazima mfilisike tu,sijui walisoma uchumi wapi,kwa tuliosoma uchumi tunatambua slogan hii " the less money,the more money, the more money, the less money".