Lovery
JF-Expert Member
- Aug 15, 2014
- 1,602
- 3,396
Kama wewe bado unapata offer hiyo shukuru sanaMbona hiyo bando bado ipo kama kawaida.....
Kama wewe bado unapata offer hiyo shukuru sanaMbona hiyo bando bado ipo kama kawaida.....
OK, unajiungaje nami nijaribu
Hujielew mkuuuNikiwa kama mtumiaji wa Voda nasema voda ndio mtandao wenye viwango nchi hii kama unataka MB 500 na unaish Dar kuna kifurushi cha Dar mb 500 instagram,whatsapp and facebook ni bure kwa sh 500
mkuu unajua maana yake, yake demand ya pesa ndogo ni pana sana, kwa pesa ndogo unaweza kufikia watu wengi mno wa kada mbalimbali, pesa nyingi utapata wachache na kukosa mapato, mfano sigara moja ikiuzwa sh 1000 mapato lazima yashuke, sigara zitakosa wanunuzi.The more money, the less money haaaaah uchumi uliosoma ni wa yale magari yanayopaki jangwani... Just jork my
Kwangu mie hiyo 500MB inaisha ndani ya robo saa. Nilikuwa napata 3GB kwa sh 2000 kwa siku 5, sasa hivi ni 350MB kwa sh 2000. Washanikosa.Nikiwa kama mtumiaji wa Voda nasema voda ndio mtandao wenye viwango nchi hii kama unataka MB 500 na unaish Dar kuna kifurushi cha Dar mb 500 instagram,whatsapp and facebook ni bure kwa sh 500
Hivi mnatumia vifurushi gani halotel mpaka msifie hivyo?mm tangu mwaka Jana ckawahi weka vocha voda naweka v m Pesa kidgo ili line isifungiwe
nimeamia halotel wapo vizur,Nina laini ya Chuo halotel
voda kifurushi cha SMS mwez ilikuwa 1000,1500 sasa n 2000 wakati halotel n 1000 tu
voda IPO tu wala siitumii
halotel wapo vizur idara zote,dk,SMS had mbHivi mnatumia vifurushi gani halotel mpaka msifie hivyo?
Mi nina tigo,halotel na voda zote za chuo lkn sijaona uzur wa halotel zaid zaid nikienda kijijin ndio network yake ya uhakika napata H+
-Halotel chuo ni Tshs 1500 dakika 150,sms bila kikomo na mb 800halotel wapo vizur idara zote,dk,SMS had mb
Natumia kifurushi cha chuo laini za chuo zinapatikana kiurahisi[/QUOTE]Bora Voda aisee ya chuo. Mi nin laini zote za chuo yaan Voda,Tigo na halotel!. Hebu compare hapa boss:LsE="Kajole, post: 27184594, member: 41710"]Unatumia kifurush kipi kwenu internet halotel?
Hii mijitu ni mijizi pase!
40 yao iko karibu walahi!