Tongue blister
JF-Expert Member
- Jun 19, 2009
- 362
- 11
vyovyote iwavyo mimi nadhani watanzania tum-support ili aweze kufanya vyema. Tatizo la watanzania ni ku-critisize kila kitu bila kutoa way forward, ninyi mmeona semenya wasauzi walijua kuwa ni dume-jike lakini alilakiwa kama mfalme. Watanzania hii tabia ya kulalama tu bila kutoa solutions inatutafuna.
Shutuma zangu hasa nazielekeza kwa watanzania ambao labda wako nje ya Tanzania ki masomo au kikazi, wao kila kitu ni ku-laumu tu mambo yanayoendelea hapa nchini lakini ukiwauliza leteni suggestions ambazo zita work hapa bongo, hakuna anayezungumza, utasikia tu mabinti wa bongo hovyo bora wa mamtoni, lakini ninyi mnaopenda vya mamtoni kumbukeni mlikuwa hapa mnakula vumbi hadi mkapata bahati ya kwenda huko mliko.
wakati mkiwa hapa nanyi yaliwashinda, mfano hii issue ya miss world ningetegemea tupate hata sample ya maswali yanayoulizwa huko miss world ili tumuandae binti yetu sasa badala yake ni kulalamika tu oh... tanzania hatuna warembo!!! kwani urembo ni nini? ni uzungu au??
huna lolote!nshamega sana sampuli hizi hadi nshachoka nazo...
Nshamega sana sampuli hizi hadi nshachoka nazo...
Samahani sikuwataja.
Kwa muono wangu, wasichana wanaoweza kusonga mbele zaidi kulingana na wanavyoonekana kwenye picha zao ni hawa wafuatao:
Florence Josephat
Cecilia George
Nasreem Karim
Regina Julius
Wafuatao nao wapo karibu karibu lakini huenda hawakupozi vizuri wakati wa kupiga picha hizi:'
Pendo Laizer (Backgorund yake siyo nzuri)
Mariam Hajibu (Hakuonyesha tabasamu)
Johari Abubakar (Tabasamu lake limekaa vibaya)
Kama picha hizi hazinidanganyi: Mgomange ni kwa hawa wafuatao:
IVONY BIGIRWA-KINONDONI
MIRIAM GERALD-MWANZA
SABINA BUDODI-MARA
SANDRA MALEBEKA-KINONDONI
SIA NDASKOI-TEMEKE
STELLA CHIDODO-SINGIDA
MARY JOSEPH- MARA
Umemaliza yote mkuu! Mengine ni blahblah, but the esence is in your quote above. Appreciate your honesty!Don't even waste money sending her to the competition. Unless there is a miracle between now and then she is not gonna win anything. Lets get real, at the end of the day this is still a beauty contestand this chick is way below the standard that you usually get at this competition
niko tayari kurekebishwa but ninavyofahamu mimi...
kuwa na mwanya ni disadvantage kwenye mashindano ya miss world...
sasa huyu mbona ana mwanya??????????
Don't even waste money sending her to the competition. Unless there is a miracle between now and then she is not gonna win anything. Lets get real, at the end of the day this is still a beauty contestand this chick is way below the standard that you usually get at this competition
rubbish...mambo yote haya ni kutupotezea muda WAAFRIKA..waacheni WAZUNGU na mambo ya urembo, walianzisha sababu asilimia kubwa ya WANAWAKE wa kizungu ni WABAYAAAAAA.....kama unabisha wachukue kama watano randomly, wapange na wa-KIAFRIKA..ndio maana ULAYA na MAREKANI mwanamke akiwa mzuri ni tiketi ya maisha bora tayari........by the way, hivi kati ya mwanamke wa KIZUNGU na KIAFRIKA, yupi akipita na kichupi mbele ya MWANAUME rijali SURUALI ITASUMBUA...........
Don't even waste money sending her to the competition. Unless there is a miracle between now and then she is not gonna win anything. Lets get real, at the end of the day this is still a beauty contestand this chick is way below the standard that you usually get at this competition
Don't even waste money sending her to the competition. Unless there is a miracle between now and then she is not gonna win anything. Lets get real, at the end of the day this is still a beauty contestand this chick is way below the standard that you usually get at this competition
Wakuu,
Kwa mujibu wa profile ya huyu malkia mpya Bi. Miriam ni mwajiriwa wa Vodacom.
Kwa mfanyakazi wa Vodacom kushiriki kwenye mashindano ambayo mdhamini mkuu ni Vodacom na kuondoka na Taji (au hata kama asingeshinda) hii imekaa vipi,sababu naona kama kuna kama kutakuwa na kahisia ka kainfluence fulani hapa au ni mimi sielewi.. nielimisheni hapa...
lakini majaji hawakuwa Vodacom walikuwa ni watu kutoka sekta mbalimbali