VodaCom Miss Tanzania 2009

Shost stuka, majaji hawajatoka vodacom lakini wamelipwa na vodacom ili kumchagua mfanyakazi wa vodacom awe miss vodacom. Mbona imekaa straight hiyo? Haina haja ya kuzungukazunguka. Wizi mtupu!

If at all is true, then there is a conflict of interest all together!!!!. I understand is a form six leaver, as per the profile posted in several newspapers!!!! Hapo Vodacom yuko idara gani?? A usikute ni wale temporary wanaosaidia shughuli ndogondogo pale voda?? Maana employee pengine anayo contract au tusemeje wakuu?? Very fun!!!
 
Shost stuka, majaji hawajatoka vodacom lakini wamelipwa na vodacom ili kumchagua mfanyakazi wa vodacom awe miss vodacom. Mbona imekaa straight hiyo? Haina haja ya kuzungukazunguka. Wizi mtupu!

lalala lalala so Chrispin hebu tuje kwenye swala zima la gari ..mbona lilikuwa na vumbi kama vile limetoka japan likiwa linaendeshwa ???
 
Sure...Kwao mwanya ni kama kilema...kwatu ni deal...so kwa nchi yetu yuko sawa..international wise hapana...Labda kwa sababu inafanyikia africa.Hivi Yule bouncer mwenye suti nyeusi alikuwa anamlinda nani?

Swahiba, pale hata angeshinda yupi hakuna aliyekuwa na sifa za kushinda miss world. Ushauri wangu ni kwa wanaJF mwakani wapige jaramba. Kina Firstlady1, Nyamayao, MJ1, Maria Roza, Sugar la ukweli....... mpo? Don't let us down bana. Mnazo sifa zoooote! Twendeni vitani. Siasa hatuiwezi kwa kuwa imekamatwa na mafisadi. Tuangalie upande wa pili, Ulimbwende!
 
lalala lalala so Chrispin hebu tuje kwenye swala zima la gari ..mbona lilikuwa na vumbi kama vile limetoka japan likiwa linaendeshwa ???

Swala la gari wala hamna haja ya kuuliza. Gari likiwa used Japan, linakuwa brand new Tanzania. Sishangai. Ila kwa bei kuzidi 50m hapo ndipo niliposhangaa. Mtoto wa kisukuma atatanua nalo mwaka mmoja, then anajiunga kwenye chama chetu cha URAFIKI NA MAFUNDI WA MAGARI. Spana mkononi mpaka kieleweke.
 
kaaaaaaaaaaaa kweli kweli nchi hii kila kitu bla bla
 
Wanaume bwana, hivi ni kweli, akili zao huwa zinawaza kitu kimoja tu when it comes to warembo?

Once upon the time, nilikuwa najua we dume jenzetu, kumbe mshosti. Swali zuri sana umeuliza. Na jibu lake ni rahisi sana. YES!. Otherwise utakuwa na matatizo.
 
Mwaka jana nilisema hivi:

Ushindi ukaenda kwa Nasreem Karim

Mwaka huu nimesema hivi:

Ushindi umekwenda kwa MIRIAM GERALD

Inaelekea nina uwezo wa kumpiku Sheikh Yahya katika masuala haya.
Haya Bwana! Tunakutegemea Kombe la Dunia 2010!
Upo hapo mwanangu?
 
Swahiba, pale hata angeshinda yupi hakuna aliyekuwa na sifa za kushinda miss world. Ushauri wangu ni kwa wanaJF mwakani wapige jaramba. Kina Firstlady1, Nyamayao, MJ1, Maria Roza, Sugar la ukweli....... mpo? Don't let us down bana. Mnazo sifa zoooote! Twendeni vitani. Siasa hatuiwezi kwa kuwa imekamatwa na mafisadi. Tuangalie upande wa pili, Ulimbwende!

Mwanagu uko sawa, mimi namuaminia Firstlady 1 mwanangu ....... yaani yuko bomba kichizi!
 
Lakini miss wetu mbona namwona kama ana mwanya mkubwa sana? dento formular haijatulia kiviiile, lakini ndo mpeperusha bendera yetu huyo
 
Once upon the time, nilikuwa najua we dume jenzetu, kumbe mshosti. Swali zuri sana umeuliza. Na jibu lake ni rahisi sana. YES!. Otherwise utakuwa na matatizo.
gender is not important here Chrispin au ......
 
Back
Top Bottom