Vodacom mbona hamuweki option ya kuongea na customer care?

Grena

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
657
1,543
Habari zenu wakuu,

Karibu wiki Sasa laini yangu ya Vodacom imekuwa na shida. Kila nikijaribu kupiga Ile namba ya huduma kwa wateja 100 ili wanipe maelekezo hamna Option ya kuzungumza na mhudumu zaidi ya zile bonyeza moja, Bonyeza this, Bonyeza that.

Inaamana Vodacom hawana option ya kuzungumza na mhudumu wa wateja moja kwa moja? Mbona mitandao mingine wako very simple ukipiga tu hiyo 100 baada ya option kadhaa unaambiwa kuzungumza na mhudumu wetu Bonyeza inatajwa namba na ndani ya muda mfupi wanakuunganisha naye.

Vodacom hebu kuweni professional, mnaudhi sana sio kila mtu yuko na access ya Voda shop that's why Kuna huduma kwa wateja kupitia sim.
 
Fanya hivi. Tumia option ya kwenye Mpesa. Au wacheki kwa normal sms 100, au WhatsApp pia kwenye mitandao yao ya kijamii.
 
Fanya hivi. Tumia option ya kwenye Mpesa. Au wacheki kwa normal sms 100, au WhatsApp pia kwenye mitandao yao ya kijamii.
Thanks, But still Ile ya kuongea na mhudumu moja kwa moja Ni nzuri zaidi. Kuchat huwezi jiexpress vizuri na kuulizana maswali
 
Nilijua nimimi tu niliwahi kukutana na hiyo shida, yaani ni mwendo bonyeza sijui nini mara sijui bonyeza bonyezaaaaaaa mara umefika mwisho unaanza upya

Ilibidi niende tu pale voda shop kwao ndo nikatatuliwa shida yangu.

Nashauri waeke utaratibu vizuri au warudishe kama zamani tu.
 
Vodacom ni trush kila siku huwa nawambia na wanatabi aya kumuunga mtu na huduma alizojitoa zaid ya mara tatu yaani mtu ulalamikie tatizo wakuondoe baada ya masaa mawili ukiweka salio wana kukata tenaaa ukiuliza unambiwa ulijiunga nimesumbuana nao sana hivi sasa line yao ni marehemu wanakwambia nenda duka liliokaribu a wewe kama wamekuondoa mara mbili nakukukurudisah wenyewe wanansumbua ili iweje
 
Hehehe, waliniongelesha mpaka nikawa nasahau tulipoanzia, halafu mwisho naanza kusinzia wanaishia kusema sijachagua kitu
 
Kwa hiyo kukurahisha chagua 2 then 2 then 2 then 3.

Lazima kwanza usikilize wakisema bonyeza mbili ndiyo unabonyeza. Lazima ataje namba unayotaka.

Fuata huo mtiririko.

Cc Grena
 
Wanakuzungusha humo humo bonyeza 2 sijui bonyeza 3 yani walintesa hao 3 weeks ago nilikuwa na ishu so sensitive!
 
Back
Top Bottom