Vodacom M-PESA......... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vodacom M-PESA.........

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by TANMO, Feb 8, 2012.

 1. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Kunani kwenye huduma zao? Mbona mtandao unachukua muda mrefu sana? Leo imenilazimu kusubiri takribani nusu saa ili nipate pesa baada ya kutuma request ya kutoa pesa kupitia wakala. Hii haijakaa njema bana, tumekimbia foleni benki, tunakuja kukumbana na kusubiri huku.. Dah! Wakuu hebu nishaurini njia mbadala aisee.
   
 2. Kipeperushi

  Kipeperushi Senior Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tatizo matangazo yao ndio yamekuzingua mkuu. Try tiGO Pesa, to my opinion this can be the best. Nimejaribu M-Pesa kama 2 weeks tangu nilipo-join kwenye mtandao wa vodacom, ki-msingi leo nimeamua kuachana nao kabisaaa..! About 1 hour ago kabla sija-post hii reply nilijaribu kununua airtime thru M-Pesa, msg ya mwisho niliyoiona kwenye display ya simu yangu regarding my request ilisomeka hivi:- "ombi lako limetumwa". Cha ajabu ni kwamba mpaka sasa hivi sijapata jibu. Na hii sio leo tu, nafikiri hivi ndivyo ilivyo maana sio chini ya mara 3 nakutana na kizunguzungu cha aina hii. Sasa sijui maombi haya huwa yanatumwa mbinguni? BIG UP tiGO Pesa..! Jaribu hii option bro, huku hakuna kutuma maombi, hiyo pesa ni mali yako, maombi ya nini tena...
   
 3. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Kwenye bold umenifanya nijicheke, yaani ninaomba nipewe haki yangu lakini majamaa wananiwekea pozi kuipata.. Mkuu Tigo pesa sikuwahi kupata tatizo nao ila huduma nyingine za Tigo ndiyo zilinifanya niwakimbie, manake mara kibao nilikuwa napigiwa simu na niko hewani lakini watu hawanipati, pia walinianzishia utaratibu wa kutokuniruhusu kupiga simu kwa kisingizio kwamba sina salio la kutosha wakati nikicheki salio nina fedha za kutosha kabisa ama ndiyo nimetoka kuongeza pesa. nikanawa mikono, sasa hawa Voda naona wanaelekea kunikimbiza, nadhani ni wakati wa kuwajaribu Zantel sasa.. Mkuu unasemaje?
   
 4. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,310
  Likes Received: 3,058
  Trophy Points: 280
  Voda kuna tatzo la network kwnye m-pesa kwa sasa.
   
 5. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Angalau wangetujulisha mapema tungetafuta njia mbadala za kupata pesa kuliko kwenda kusubirishana kwenye vituo bila matumaini..
   
 6. Kipeperushi

  Kipeperushi Senior Member

  #6
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sijawahi kuwaribu Zantel, maybe Airtel Money inaweza kuwa nzuri pia, lakini kwangu mimi M-Pesa is helpless almost above 50%.
   
 7. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mimi nimeshaanza kujutia kuwa mteja wa VodaCom, ingawa sijutii kuhama Tigo,, Lol
   
Loading...