nna uhakika ipo, kuna kampuni ambayo inafanya integration ya online transactions na mpesa huko kenya sasa imefika hapa kwetu....Hakuna api ya mpesa, nadhani hawataki wengine watajirike.
[URL]https://github.com/pluspeople/pesaPi[/URL]
[URL]https://groups.google.com/forum/#!topic/pesapi/201BNF7Lcnk[/URL]
[URL="http://www.youtube.com/watch?v=bQ3AuBuFIM0"]PesaPi: Mobile money on your website in 16minutes - YouTube[/URL]
[URL="http://coderhalisi.blogspot.com/2010/06/creating-simple-mpesa-payment-system.html"]The Open Source Hacker: Creating a simple MPESA Payment System for your Website - Part 1[/URL]
Wadau hii kitu nilikuwa nafuatilia ila sijaona progress yoyote, kuna yoyote mwenye news kama vodacom TZ watarelease API yao ya M-pesa. Najua airtel wana public API's ila sijui kama zinawork TZ, na sifahamu kitu kuhusu tigo.
Wakuu Hawa Voda Tz wamesha release hiyo api? Safaricom kenya inapiga mzigo so far, I really needed to know about this maana nina on going project inatumia mobile payment intergration, so far ni tigo na airtel tu ndo wanaonyesha mwangaza ila hawa voda ndo sijui hata napataje api yao, na hawajibu email zangu na sipo bongo so far labda ningeweza kwenda kwa office zao. Help needed plz Stefano Mtangoo zech Graph ub16Kuhusu kampuni hapa bongo ambazo wameshaweza kufanya integragion, i think walichofanya ni kulipia ile special number which most of use small developers can't afford, maana hata ukiangalia jamaa wa vinjari.com wao ukitaka kulipa lazima uingize ile number yao so i will assume its the same with fastjet (i have never paid fastjet with mpesa)
Anyways kama kuna mtu atajaribu na kufanikiwa atuambie au kama vipi tukutane tujaribu kutengeneza as developers then tuirelease as an open source project
Wakuu Hawa Voda Tz wamesha release hiyo api? Safaricom kenya inapiga mzigo so far, I really needed to know about this maana nina on going project inatumia mobile payment intergration, so far ni tigo na airtel tu ndo wanaonyesha mwangaza ila hawa voda ndo sijui hata napataje api yao, na hawajibu email zangu na sipo bongo so far labda ningeweza kwenda kwa office zao. Help needed plz Stefano Mtangoo zech Graph ub16
Shukrani mkuu, hizi Telecom company zetu pasua kichwa ile mbaya! , Tigo nao wana sema "haifanyi kazi,please test your implementation", wanadai tatizo lipo kwangu but at the same time hawasemi tatizo ni nini, na email nazo hawajibu, sasa hii tena inakua mitihani mikubwa kwakweli!So far ni story za mjini tu. Siku nikipita pale nitaulizia nipate jibu lao official. So far sijui ukweli ni upi!
So far ni story za mjini tu. Siku nikipita pale nitaulizia nipate jibu lao official. So far sijui ukweli ni upi!
Nha! That was too much!Mi nilipita wakaniambia lazima niende mwenyewe, alafu wakasema wakague app yangu waangalie na code ikiwezekana wacode wenyewe part inayodeal na payment. Nilishangaa sana hakuna sababu whatsoever ya kufanya kitu kama hicho.