Vodacom leo mtamjua mteja mwenye hasira

Vodacom leo mtamjua mteja mwenye hasira

Hao Voda wanashirikiana TCRA kuwaibia wateja wao,kuna mtu anasema hata hao TCRA wanatumia Voda nao pia watakuwa wanaibiwa.
Mimi nasema hivi hata kama wanaibiwa lakini mwisho wa siku wanapata mgao wao hasara kwao iko wapi?
 
labda kampuni zote waniibie ndo ntalalamika lakini sio kampuni moja tu nianze kelele wakati sijafunga nao ndoa, tigo, airtel, zantel, smart
 
Ni tatizo. Nimesafiri kwenda mahali nikawa nimeweka kakifurushi ka-Airtel OMG mwezi mzima. Nimefika huko Airtel iko slow mbaya. Sina la kufanya imebidi niendelee na Vodacom. Ushindani kwenye hili soko si perfect.

Airtel nao ni shda! Niko maeneo ya k.koo lakn airtel internet ni shdaa! Nina ndugu yangu ni bubu yy anatumia msg tu lakn kila akiweka vocha wanapga panga hadi anachoka! Hawez kuongea: ukiwapgia airtel wanazengua tu!
Watanzania tunaliwa na hii mitandao ya cm
 
hivi yule January makamba yupo wizara gani vile?
si anautaka uprezida?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom