Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,327
- 15,339
Yaani siku hizi kila nikiweka hela lazima mnikate bila sababu wakati sijajiunga na huduma zenu uchuro za kutuibia pesa, hiyo haijaniuma sana.
Kilichoniuma zaidi, mmeanza kumkata mama yangu mzazi wakati hizo huduma hawezi kuzitumia kabisa, yeye ni kupiga kupokea na kutuma msg tu.
Cha ajabu sasa hivi akiweka jero tu, mnalitafuna lote hali inayomfanya akiweka aunge kifurushi cha hela yote wakati huo huo utafikiri hiyo vocha ameiiba.
Sasa nawaambia hivi, kutokana na ugumu ninaopata katika kupata hizo pesa, nawapa masaa 8 kutoka sasa muwe mmeshamaliza hilo tatizo ikiwa ni pamoja kurudisha hela mlioiba bila taarifa.
Namba yake ipo PM kwako.
Tutaheshimiana tu.
Vodacom Tanzania

Last edited by a moderator: