Hamieni mtandao mpya wa SMART LETS TALK.
UPDATES
Mama tumewasiliana muda si mrefu anasema wamemtumia omsg kuwa ameondolewa kwenye huduma fulani fulani ambazo hazijui na hakuwahi kuomba.
Hii ilikuwa ni baada ya mimi kumtumia msg ya kumwuliza kama hawa jamaa hawajawasiliana naye kuhusu kumaliza hili tatizo.
Lakini pia tumewasiliana vizuri na Vodacom Tanzania na nasubiri utekelezaji wao kwa sababu huu moto nilitaka niuwashe bila kumwambia mama kwa sababu ningemwambia, lazima angenizuia.
Kumbe mkwara unasaidia?
Hivi bado mnatumia voda!!!!! Hao jamaa wana mambo ya kishenzi sana....wezi watupu
Mkuu jukwaa la Hoja na Habari Mchanganyiko nenda juu kabisa wana thread yao.
Sasa huoni kwamba airtel ndio jibu.., ila tu usijiunge na ile switch on yao.., ni konokono kabisa.., jiunge na ile vocha ya 500 ya moja kwa moja..Tigo internet iko hovyooo...slow kama mwendo wa bi harusi...
Yani hamna cha afadhali...
Sasa huoni kwamba airtel ndio jibu.., ila tu usijiunge na ile switch on yao.., ni konokono kabisa.., jiunge na ile vocha ya 500 ya moja kwa moja..
Yeah, Mara nyingi tunapoteza pesa kwa kuwa active kwenye Data hata kama hamna bundle, tukiweka voucher tu zile underground programs ambazo hata hatuoni zikifanya kazi, mf. updates za programs, facebook inajirefresh n.k. Tena wanaotumia windows phones ndio usiseme.. Coz zile ni internet friendly kuliko hata androids.eli79, maelezo yako hayapishani na huh majibu niliyopata toka customer care ya Vodacom Tanzania. Lakini niliwauliza how come within 5minutes shilingi elfu tano ziishe zote na huku siko active kwenye data? Kimsingi majibu ya wahudumu wawili ambayo nimeya record yamepishana ndani ya nusu saa nilipokuwa nahoji upotevu wa pesa yangu. Huduma zao kwa sasa ni questionable!
Mtakoma na smart fon zenu
Mkuu kama umeniona hivi.
Yaani sasa hivi nimekaa na chibuku hapa tena sasa hivi wameboresha ina nafaka nyingi kweli na inafoka povu balaa, hii haina haja ya kula manake ni lishe tosha.
Baada ya hapa, napiga ndoba kadhaa ili kusafisha mdomo halafu niwafate hawa wapuuzi mlimani city nikawaoneshe kazi.