Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,062
- 43,487
Impossible Future Tense.
Hawa jamaa kwa sasa hawapo vema. Nadhani kuna tatizo katika hii kampuni.
kaka si habari za kusadikika 4g inakuja na nokia solution network ndio wamepewa hio tenda.
sasa hivi mitambo ya voda wameiupgrade na inatumia single RAN. ina maana wanahitaji tu software upgrade kutupa lte.
na kama unatumia voda kuanzia mwez wa 10 mwaka huu utakua shahidi kuwa speed imeongezeka maradufu.
unaweza angalia hapa kwa info zaidi
Vodacom Tanzania deploys NSN Single RAN gear to improve voice, data nationwide