Vodacom kuna nini jamani? GB 1 masaa mawili

Nilichogundua internet ya Voda kama huitumii kuingiza HELA bora uachane nayo kabisa

Tumia Voda kama ni mfanyabiashara unahitaji MB ila kama ni matumizi mengine

Asee bakini airtel tu au halotel panatosha mnoooo kwa matumizi binafsi

Kweli kabisa. Ntawahama mda c mrefu
 
Mbona bandob za voda nimalalamiko kila siku hali mamlaka ziko kimya.
 
Angalia settings za internet pia, kama unafanya tethering kwenye PC na una Windows 10+ kuna chance ya MB kulika kwa sababu ya automatic updates.

Put "Metered Connection" off.
Metered connection off..! Hapo bando si ndo litalika hatari. Metered connection inatakiwa iwe on mkuu
 
Mimi Voda nimewachoka siku nyingi sana. Kifurushi cha Internet cha siku mbili tu kimeisha

data
Mi nilijiunga cha 2500 mb 800 wiki, basi baada ya siku mbili tu kwisha, tena siangalii YouTube zaidi ya jf labda mara chache facebook
 
Mnatunyanyasa jamani. Bundle lenyewe hili la kuunga unga.

Aisee sio sawa kabisa. Tatizo ni nini!??
Ukikaa humu jf hawatakuona, nenda kwenye account yao ya twitter, kila komenti weka lalamiko lako, lazima wakutafute.

Hii ndio njia natumia nikiwa na shida kwenye kila mtandao.
 
Aisee voda wafunguliwe kesi ya uhujumu uchumi,


Bora nikimbizane na spidi ya halotel.


After 7 hours.
Tony Stark jisalimishe kituo kilicho Karibu yako kisha panda mwendokasi.
 
"Vigezo na masharti kuzingatiwa"
Ila hawakuambii ni vigezo gani na masharti gani
 
Mimi naona kotekote ishakuwa kero,
Pamoja na watu kusifia utamu wa tigo 255..... Ila Tigo Og nayo magumashi.
 
Back
Top Bottom